Tofauti kati ya Yanga ya Nabi na Yanga ya prof Gamondi

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
π“πŽπ…π€π”π“πˆ πŒππˆπ‹πˆ πŠπ”π” ππˆπ‹πˆπ™πŽπ™πˆπŽππ€.

[emoji2389]@yangasc ya NABI ilikuwa inachanganya zaidi kipindi cha Pili lakini Yanga ya GAMONDI ni Mwanzo mwisho.

[emoji2390]Yanga ya NABI ilikuwa inawategemea sana baadhi ya wachezaji wakikosekana Ushindi unakuwa wa Shida,Yanga Ya Gamondi unapigwa na yeyote.Ndo timu niloyokuwa naitaka siyo kutegemea mchezaji mmoja tu mpaka wanajiona ni wakubwa kuliko timu.

NB: Ingezea Yako .......hata Makolo mnakaribishwa!!!!!

 
Umeandika vizuri, lakini kusema Nabi alikuwa anategemea wachezaji Fulani ni sahihi lakini waliokuwa na namba ya kudumu ni wawili Mayele na Diarra Hasa Diarra, huyu Mayele kuna mechi kadhaa alikuwa anapumzishwa.

Wachezaji wote waliobaki walikuwa wanaingia na kutoka. Mimi ninachoona alichoongeza Gamond kwa Yanga ni timu kushambulia kwa namba kubwa tofauti na Nabi. Na kwa wachezaji wa Yanga walivyo naona timu itafunga magoli mengi tu.
 
Sahihi kabisa
 
Usitukane mamba kabla hujavuka mto bado sana huyo gamond kumfikia nabi hizo mechi za awali zisikudanganye mechi ngumu aliyokutana nayo ni ya simba tu na akapotea.
 
Usitukane mamba kabla hujavuka mto bado sana huyo gamond kumfikia nabi hizo mechi za awali zisikudanganye mechi ngumu aliyokutana nayo ni ya simba tu na akapotea.
Mkuu mechi ya Simba GAMONDI hakupotea nadhani hukuangalia boli, Simba walitafutana na waliomba mpira uishe! We Bado huijui Yanga GAMONDI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…