Tofauti kati ya Yanga ya Nabi na Yanga ya prof Gamondi

Tofauti kati ya Yanga ya Nabi na Yanga ya prof Gamondi

π“πŽπ…π€π”π“πˆ πŒππˆπ‹πˆ πŠπ”π” ππˆπ‹πˆπ™πŽπ™πˆπŽππ€.

[emoji2389]@yangasc ya NABI ilikuwa inachanganya zaidi kipindi cha Pili lakini Yanga ya GAMONDI ni Mwanzo mwisho.

[emoji2390]Yanga ya NABI ilikuwa inawategemea sana baadhi ya wachezaji wakikosekana Ushindi unakuwa wa Shida,Yanga Ya Gamondi unapigwa na yeyote.Ndo timu niloyokuwa naitaka siyo kutegemea mchezaji mmoja tu mpaka wanajiona ni wakubwa kuliko timu.

NB: Ingezea Yako .......hata Makolo mnakaribishwa!!!!!

View attachment 2730174
Unazungumzia mechi za Wajibuti.
 
Usitukane mamba kabla hujavuka mto bado sana huyo gamond kumfikia nabi hizo mechi za awali zisikudanganye mechi ngumu aliyokutana nayo ni ya simba tu na akapotea.
Simba alishikwa mbna
 
Tutakuja kuifukua tena hii, muda ninmwalimu mzuri tu
IMG_7919.jpeg
 
Back
Top Bottom