This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Unazungumzia mechi za Wajibuti.πππ ππππ πππππ πππ πππππππππππ.
[emoji2389]@yangasc ya NABI ilikuwa inachanganya zaidi kipindi cha Pili lakini Yanga ya GAMONDI ni Mwanzo mwisho.
[emoji2390]Yanga ya NABI ilikuwa inawategemea sana baadhi ya wachezaji wakikosekana Ushindi unakuwa wa Shida,Yanga Ya Gamondi unapigwa na yeyote.Ndo timu niloyokuwa naitaka siyo kutegemea mchezaji mmoja tu mpaka wanajiona ni wakubwa kuliko timu.
NB: Ingezea Yako .......hata Makolo mnakaribishwa!!!!!
View attachment 2730174
Tutakuja kuifukua tena hii, muda ninmwalimu mzuri tu
Yametimia hii ni sawa na mwanamke akipata bwana mpya anaanza kumponda yule aliemuacha ndo hii sasaTutakuja kuifukua tena hii, muda ninmwalimu mzuri tu
Kwani Nabi alikuwa hafungwi? Kufungwa ni matokeo ya mchezo, haimaanishi basi kocha hafai.Yametimia hii ni sawa na mwanamke akipata bwana mpya anaanza kumponda yule aliemuacha ndo hii sasa
Mkuu heshima yakoTutakuja kuifukua tena hii, muda ninmwalimu mzuri tu
Kweli aisee... Mda ni mwalimu sahihi kabisa.Tutakuja kuifukua tena hii, muda ninmwalimu mzuri tu