Tofauti kubwa kati ya chuo kikuu,chuo na taasisi

Status
Not open for further replies.

bily

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
8,029
Reaction score
5,796
Wana jamvi kuna kitu ambacho watanzania tunashindwa kutofautisha ntaelezea tofauti hiyo ntaanza na CHUO KIKUU; kwa hapa tanzania tuna chuo kikuu kimoja tu nacho ni chuo kikuu cha dar es salaam (UDSM) sifa za chuo kikuu ni lazima kiwe na uwezo wa kutaini wanafunzi kuanzia ngazi ya cheti,stashahada,shahada ya kwanza, shahada ya uzamili, shahada ya uzamivu na mwisho uprofesa, pia lazma kiwe na maprofesa wengi au madokta bila kutegemea chuo kikuu kingne pia lazima kiwe na maeneo kama ya michezo na maktaba kubwa, internet wireless, karakana kubwa za sayansi na teknolojia na vingine pia ni lazma kiwe kinajitegemea kiuendeshaji. Taasisi km IFM,CBE,MIST,ATC ivi havina hadhi vya kuitwa chuo bali taasisi kwa sababu havina ata vigezo vilivotajwa hapo juu, CHUO ivi vinaweza vikawa na uwanja wa michezo na pia kutoa wanafunzi wa master na phd ila kama walimu hawatoshi vitaitwa chuo mfano UDOM,MZUMBE,SUA, kuna vigezo vingine mnaweza mkavitaja ila chuo km udom akina hadhi kuitwa chuo kikuu kwa sababu wanakitegemea maprofesa na madokta wa mlimani. Maoni yangu pinga kwa hoja .
 
Me napita 2,ngoja wahusika waje.
 
ivi kuazima walimu kutoka chuo kingine maana yake nini??? ni kwamba hamna walimu wa kutosha ndio maana wanaazima walimu...au sio hivyo?? katika vigezo vyako(vya kipuuzi) umesema kama chuo hakina walimu wa kutosha basi sio chuo...alafu mwishoni unasema udom ni chuo kikuu kwa sababu wanatoa waaalimu mlimani!!!! kuna maana hapo???
 
Wana jamvi kuna kitu ambacho watanzania tunashindwa kutofautisha ntaelezea tofauti hiyo ntaanza na CHUO KIKUU; kwa hapa tanzania tuna chuo kikuu kimoja tu nacho ni chuo kikuu cha dar es salaam (UDSM) sifa za chuo kikuu ni lazima kiwe na uwezo wa kutaini wanafunzi kuanzia ngazi ya cheti,stashahada,shahada ya kwanza, shahada ya uzamili, shahada ya uzamivu na mwisho uprofesa, pia lazma kiwe na maprofesa wengi au madokta bila kutegemea chuo kikuu kingne pia lazima kiwe na maeneo kama ya michezo na maktaba kubwa, internet wireless, karakana kubwa za sayansi na teknolojia na vingine pia ni lazma kiwe kinajitegemea kiuendeshaji. Taasisi km IFM,CBE,MIST,ATC ivi havina hadhi vya kuitwa chuo bali taasisi kwa sababu havina ata vigezo vilivotajwa hapo juu, CHUO ivi vinaweza vikawa na uwanja wa michezo na pia kutoa wanafunzi wa master na phd ila kama walimu hawatoshi vitaitwa chuo mfano UDOM,MZUMBE,SUA, kuna vigezo vingine mnaweza mkavitaja ila chuo km udom akina hadhi kuitwa chuo kikuu kwa sababu wanakitegemea maprofesa na madokta wa mlimani. Maoni yangu pinga kwa hoja .
naona akili yako iko likizo!!!! na kama wewe pia ni msomi basi maendeleo tutayakia kwenye bomba.....:A S angry:!!
 
If you are a product of Prof Mukandara, then UDSM has started producing shammy and shoddy graduates!! simple question where did you get your sketchy and shallow analysis? from TCU? I do not understand how you managed to "escape" with your "degree"!!! Dr Kitila Mkumbo is this your product?
 
Ni stage ya kukua tu......ukikua utaacha, utakana na viapo kabisa kuwa hujawahi tema pumba kama hizi...:nimekataa
 
Wana jamvi kuna kitu ambacho watanzania tunashindwa kutofautisha ntaelezea tofauti hiyo ntaanza na CHUO KIKUU; kwa hapa tanzania tuna chuo kikuu kimoja tu nacho ni chuo kikuu cha dar es salaam (UDSM) sifa za chuo kikuu ni lazima kiwe na uwezo wa kutaini wanafunzi kuanzia ngazi ya cheti,stashahada,shahada ya kwanza, shahada ya uzamili, shahada ya uzamivu na mwisho uprofesa, pia lazma kiwe na maprofesa wengi au madokta bila kutegemea chuo kikuu kingne pia lazima kiwe na maeneo kama ya michezo na maktaba kubwa, internet wireless, karakana kubwa za sayansi na teknolojia na vingine pia ni lazma kiwe kinajitegemea kiuendeshaji. Taasisi km IFM,CBE,MIST,ATC ivi havina hadhi vya kuitwa chuo bali taasisi kwa sababu havina ata vigezo vilivotajwa hapo juu, CHUO ivi vinaweza vikawa na uwanja wa michezo na pia kutoa wanafunzi wa master na phd ila kama walimu hawatoshi vitaitwa chuo mfano UDOM,MZUMBE,SUA, kuna vigezo vingine mnaweza mkavitaja ila chuo km udom akina hadhi kuitwa chuo kikuu kwa sababu wanakitegemea maprofesa na madokta wa mlimani. Maoni yangu pinga kwa hoja .

elimu ndogo na kutofikiria mbele ya unyayo wako!
 
Mtoto anataka ajibiwe kwa hoja anaona amepanga hoja zenye nguvu kwelikweli.Dogo ingekuwa ni test umepewa hapo na ukakutana na mwalimu kama Prof Maghway,test ya 20% ungelamba -20%
 
daah mkuu umenifikisha hapa kwa prof maghway hv huyu baba alikufundisha na wewe jamani kuna kozi ananifundisha hapa ni balaaa uwiiih huyu mzee noumer
 
wakati mingine watu wanakuja kupumzika tu kwa hiyo huyu jamaa alikuwa mapumzikoni
 
Mkuu au kwa Marehemu Prof. Raphael Lema, angefaulu sana hapati zaidi 0%, vinginevyo ni negative.
 
bila shuku huyu jamaa atakua UDSM. watu kama hawa wanahitaji BAN ili kupunguza msongamano.JF
 
Ukimaliza kusoma chuo kikuu,nenda na cheti chako kwa waajiri waambie nimetokea udsm nataka mnipe ajira haraka.
 
Mkuu unaweza ukawa na idea lakni imechakachuliwa mno...! wewe kwako chuo kikuu ni mazingira ya kujifunzia tu?? u gotta to think out of that box dear...!
 
Mmmh makubwa haya jamani. Hayo mtoa mada umewaza nini lakini?
 
Kijana unahitaji kukombolewa kimawazo!!mawazo yako uliyotoa hayajakidhi vigezo vya kuwa classified as Elite person...go back to UDSM and tell your professors to re-shape you ideologically!!
 
Jamani msimshangae kuna watanzania wengi wa aina hii wanaofikiri elimu ni mazingira.Huyu msomi anafikiri mwalimu akitoka Dar akaja Dom anabadilika.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom