Tofauti kubwa ya Ally Kiba na Diamond hii hapa

Kiba mwenyewe wala hana habari, ni muelewa na alielewa Diamond kamaanisha nini na amekubaliana nalo, sasa ninyi mnaokuja na bifu wala haiwahusu!

Buuuuuuuuuuh! Buuuuuuuuuuu Buuuuuuuuuuuh! Buuuuuuuuuu

😱:what:🙁:thumbdown::thumbdown::thumbdown::thumbdown::thumbdown::thumbdown::thumbdown::thumbdown::thumbdown::thumbdown::thumbdown::thumbdown::thumbdown::thumbdown::thumbdown::thumbdown::thumbdown::banghead:
 
Sijui hata unachoongea ni kipi.
Naona kila ninapokuuliza swali unajitahidi sana kubadili mantiki!
 
Hee makubwa!!!
 
Loh,acha umbea wewe....kakubaliana nalo alikuambia???uliona ile clip aliyoweka kabla ya show yake kuanza pale leaders???alisema hataki kushindana na watoto...sasa hilo la kusaidiwa atakubaliana nalo???

Yaani wewe mpaka akwambie ndio unaelewa pole, hata action zinaongea. Kun mahali amekueleza amechukizwa na kuambiwa Diamond atamsaidia. Shame on you!
 
Yaani wewe mpaka akwambie ndio unaelewa pole, hata action zinaongea. Kun mahali amekueleza amechukizwa na kuambiwa Diamond atamsaidia. Shame on you!

Shame on you wewe unayeusemea moyo wa mwenzio,tena leave me alone bibi wewe...ukome kabisa ukiniona nasherehekea mafanikio ya kiba kaa mbali na ndomo wako
 
Shame on you wewe unayeusemea moyo wa mwenzio,tena leave me alone bibi wewe...ukome kabisa ukiniona nasherehekea mafanikio ya kiba kaa mbali na ndomo wako

Mpe vidonge vyake wala usimbakishe, kaka yako nipo hapa hakutishi mtu.

Au unahitaji na matarumbeta kabisa ya kumchambia?
 
Mpe vidonge vyake wala usimbakishe, kaka yako nipo hapa hakutishi mtu.

Au unahitaji na matarumbeta kabisa ya kumchambia?

Hahahaaaaa umenichekesha sana,usijali ninae huyu mjinga mjinga tu
 
Shame on you wewe unayeusemea moyo wa mwenzio,tena leave me alone bibi wewe...ukome kabisa ukiniona nasherehekea mafanikio ya kiba kaa mbali na ndomo wako
Wewe unayesemea moyo wa Ali Kiba hujioni???? mwenyewe yuko kimyaa mnajidai kumsemea!! Sana sana amewashushua na kusema mwanamziki mmojawapo anayemkubali ni Diamond. juhudi za kuwachonganisha zimegonga mwamba!!Pole sana kumuonea wivu kijana mdogo aliyejikwamua kwa juhudi zake. mtazidi umia sana maana anapaa tu hata mseme nini?
 
Madogo yana nafuu na bado.
Bado kitu gani. Ali kiba ameongea kiswahili jamani hamumuelewi?? mnamsemea yeye kishamaliza kijana wa watu anamkubali Diamond au sio wewe ulieyesema. Yaani vidole juu ndio wala sibabaiki wala hjavinitishi. kama makaka ninao kibao ila nashukuru Mungu najisimamia mimi mwenyewe! kinachomatter hapa ni hoja tu!
 
I see!........
 
Sawa kabisa Diamond tena wewe zingatia tu kazi hao na mawivu yao achana nao! Go Diamond Go!!!

Sasa wewe tuache na yetu wewe mchukuwe domo wako mwende kwa Mungu sisi haters tuache hapa tuendelee kushangilia ushindi.

Tena tumeshatumiana pm tunaandaa sherehe kubwa ya kumpongeza Mfalme Kiba.
 
Wewe umevurugwa kweli mama,nimeusemea moyo wa Kiba wapi??alichokisema yeye hukusikia?hivi uliangalia show wewe au unaokoteza maneno???nimuonee wivu diamond kwa lipi?
Ni wapi aliposema anamkubali ndomo?alisema alivutiwa na show yake....tumia akili wewe
 
Sasa wewe tuache na yetu wewe mchukuwe domo wako mwende kwa Mungu sisi haters tuache hapa tuendelee kushangilia ushindi.

Tena tumeshatumiana pm tunaandaa sherehe kubwa ya kumpongeza Mfalme Kiba.

Hapo umeongea la maana!
 
Ha Ha Ha! jikumbushe thread ilivyoanza utapata jibu. hata nami ndio nahsangaa kama unavyoshangaa wewe wivu wa nini?
 
Sasa wewe tuache na yetu wewe mchukuwe domo wako mwende kwa Mungu sisi haters tuache hapa tuendelee kushangilia ushindi.

Tena tumeshatumiana pm tunaandaa sherehe kubwa ya kumpongeza Mfalme Kiba.

Na atuwache kabisaaa,akitaka nae akaanzishe thread yake ya kumsifia ndomo wake sio kutuharibia sherehe :beer::beer:
 
Ha Ha Ha! jikumbushe thread ilivyoanza utapata jibu. hata nami ndio nahsangaa kama unavyoshangaa wewe wivu wa nini?

Wewe ndie mwenye wivu kisa ndomo kagaragazwa....Mimi wivu wa nini zaidi ya kusherehekea???tuliza kihoro bibi utakufa siku si zako kwa kutuonea wivu tunavyojimwayamwaya kwa raha zetu...
 
Wewe ndie mwenye wivu kisa ndomo kagaragazwa....Mimi wivu wa nini zaidi ya kusherehekea???tuliza kihoro bibi utakufa siku si zako kwa kutuonea wivu tunavyojimwayamwaya kwa raha zetu...
Tatizo masikini unavyoandika wala sio unavyosjisikia moyone, one can read between the lines. Pole wee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…