Tatizo masikini unavyoandika wala sio unavyosjisikia moyone, one can read between the lines. Pole wee!
Mh,kweli wewe ni mtaalam wa kuusemea moyo wa mtu aisee....:sly::sly:
Mwache anywe ndimu asukutuwe na jiki, kesho ofisi yangu nimetangaza mapumziko ya kitaifa kwa crew wote kwa ajili ya kusheherekea sherehe hizi za kitaifa.
sijaona point yako haya hebu mwambie domo amsifie kiba kama ataweza mshaurini domo aache dharau kama kweli mnampenda
Acha dharau kumwita Binadamu mwenzako Domo
Domo? Mbona ndio jina lake maarufu hilo? Na kuna mama Ubaya pia kama ulikuwa hujui maana inaonekana wewe ni mgeni hapa mjini.
Hamuishiwi maneno... mlianza kwamba anajingazia amemtoa Davido, mkaja tena kwamba amedharau hotel za Mbeya... leo tena mwaumia kusema atamsaidia Kiba, eh! Tatizo lenu ni hil tu kusema kwamba "nitamsaidia" au kuna lingine? Mbona hamkuja juu aliposema amewasaidia wale wa Nigeria au S.A? Muulize Nay wa Mitego atakuambia maana ya kumshirkisha Diamond... na kama wewe ndo umeomba kufanya nae featuring kisha akakubali, ndio.... AMEKUSAIDIA! Hata hao Mafiki Zolo (cjui wanaitwaje cjui) nao amewasaidia coz' lengo lao la kufanya featuring na Diamond na kutangaza muzki wao EA... Pamoja na mahaba yote tuliyonayo kwa wapendwa wetu lakini mtake msitake, leo hii Diamond akifanya kazi na Ali Kiba basi Kiba ndie atakuwa amesaidiwa coz' Diamond anafahamika zaidi nje kuliko Ali Kiba... hutaki, unaacha!
Unataka tufanyaje sasa tumejua tofauti then?
Mwambieni kama ile tuzo aliyokuwa anawasumbua sumbua mumpigie kura ameshaangukia pua, wameichukua Sauti Sol. Msisahau kumwambia, maana najua atakua hana habari coz bado anahenyeshwa na kesi ya gwanda na bado mwangwi wa kuzomewa unaunguruma masikioni mwake. Mwambieni tu.
Ova
View attachment 195772
Uwiiiii,ilikua lini hii?
Huyu ndo hampend kabisaDomo? Mbona ndio jina lake maarufu hilo? Na kuna mama Ubaya pia kama ulikuwa hujui maana inaonekana wewe ni mgeni hapa mjini.