Tofauti kubwa ya Ally Kiba na Diamond hii hapa

Tofauti kubwa ya Ally Kiba na Diamond hii hapa

Tatizo masikini unavyoandika wala sio unavyosjisikia moyone, one can read between the lines. Pole wee!

Mh,kweli wewe ni mtaalam wa kuusemea moyo wa mtu aisee....:sly::sly:
 
Mh,kweli wewe ni mtaalam wa kuusemea moyo wa mtu aisee....:sly::sly:

Mwache anywe ndimu asukutuwe na jiki, kesho ofisi yangu nimetangaza mapumziko ya kitaifa kwa crew wote kwa ajili ya kusheherekea sherehe hizi za kitaifa.
 
Mwache anywe ndimu asukutuwe na jiki, kesho ofisi yangu nimetangaza mapumziko ya kitaifa kwa crew wote kwa ajili ya kusheherekea sherehe hizi za kitaifa.

Hahahahaaaaaa aisee hao wafanyakazi wako wana raha sana,je Kiba akichukua tuzo zaidi ya 5 Kill music si utawapa wiki nzima???
 
Domo? Mbona ndio jina lake maarufu hilo? Na kuna mama Ubaya pia kama ulikuwa hujui maana inaonekana wewe ni mgeni hapa mjini.

Hahahaaaaaa jamani!!!kaja na bus la shangazi huyo mpokee kwa upole
 
Hamuishiwi maneno... mlianza kwamba anajingazia amemtoa Davido, mkaja tena kwamba amedharau hotel za Mbeya... leo tena mwaumia kusema atamsaidia Kiba, eh! Tatizo lenu ni hil tu kusema kwamba "nitamsaidia" au kuna lingine? Mbona hamkuja juu aliposema amewasaidia wale wa Nigeria au S.A? Muulize Nay wa Mitego atakuambia maana ya kumshirkisha Diamond... na kama wewe ndo umeomba kufanya nae featuring kisha akakubali, ndio.... AMEKUSAIDIA! Hata hao Mafiki Zolo (cjui wanaitwaje cjui) nao amewasaidia coz' lengo lao la kufanya featuring na Diamond na kutangaza muzki wao EA... Pamoja na mahaba yote tuliyonayo kwa wapendwa wetu lakini mtake msitake, leo hii Diamond akifanya kazi na Ali Kiba basi Kiba ndie atakuwa amesaidiwa coz' Diamond anafahamika zaidi nje kuliko Ali Kiba... hutaki, unaacha!

Hata juzi kati pale leaders club alimsaidia pia.
 
Tatizo la domo Shule hamna na kajaa sifa na hatumii rationality katika kufikiri and yuko driver of na senses!!
 
Unataka tufanyaje sasa tumejua tofauti then?

Mwambieni kama ile tuzo aliyokuwa anawasumbua sumbua mumpigie kura ameshaangukia pua, wameichukua Sauti Sol. Msisahau kumwambia, maana najua atakua hana habari coz bado anahenyeshwa na kesi ya gwanda na bado mwangwi wa kuzomewa unaunguruma masikioni mwake. Mwambieni tu.
Ova

IMG_20141023_133652.JPG
 
View attachment 195772

Uwiiiii,ilikua lini hii?
 
Ongeeeni mnavyoweza kwa kila upande ila sitaki ngumi hapa..
 
kumshabikia KIBA ni sawa na kuishabikia ARSENAL(ROHO MKONONI),wakati DIAMOND ni Madrid kwa bongo team ushindi
 
Mi namkubali kiba kuliko dai lakini kuna kila dalili Matola ana tamani kua mke mdogo wa dai... dizaini katoswa sasa kijambio kinamwasha..
 
Last edited by a moderator:
Mi namkubali kiba kuliko dai lakini kuna kila dalili Matola ana tamani kua mke mdogo wa dai... dizaini katoswa sasa kijambio kinamwasha..

Ushaanzaa ulikua kifungoni ninii nimemiss michambo yako,nichambe basi mpaka nizimie
 
Last edited by a moderator:
eti huyu dada anadai anawapenda wote

sasa itakuwaje?

10611179_414125755392229_1361913791_n.jpg
 
Back
Top Bottom