Tofauti kubwa ya Ally Kiba na Diamond hii hapa

Tofauti kubwa ya Ally Kiba na Diamond hii hapa

eti huyu dada anadai anawapenda wote

sasa itakuwaje?

10611179_414125755392229_1361913791_n.jpg

Mpe faby huyo demu nae ajidaii
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Matola unasumbuliwa na mahaba... kwani Ali K kumtaja Diamond ndio nini? Inawezekana kamtaja kinafiki tu, moja lakini mbili ni huku kwa social networks na media ndiko tunachochea bifu! Binafsi sina nongwa na Kiba ila nina nongwa na wale wanaomchukia mtu bila sababu za msingi!! Kuna mmoja kaja na kali ya mwaka kwamba eti Diamond anawavua sana chu*pi mademu.... aaaaaargh, wanaovuliwa wenyewe halalamiki anakuja kulalamika mtu mwingine.... nyie watu vipi???!!!! Afadhali basi angekuwa anavua watoto wa shule tungesema anawarubuni lakini mimama mijitu mizima imevuliwa chu*pi na wanaume kibao wengine sawa na baba zao, akawavua Dangote inakuwa nongwa.... eheeee!

Umetoa point ule alifanya umafiki. MbeLe ya media aonekane hana chuki wakati ni heater tuu ukitaka. Kujua kiba n heater na pia ana wivu tu tafuta uangalie mkasi alipokua anahojiwa na salama.
 
Last edited by a moderator:
Umetoa point ule alifanya umafiki. MbeLe ya media aonekane hana chuki wakati ni heater tuu ukitaka. Kujua kiba n heater na pia ana wivu tu tafuta uangalie mkasi alipokua anahojiwa na salama.

Et watu walomvutia fiesta diamond kma yye aliona kabisa kilichotokea jamaa kazomewa alafu uje kujifanya unamsifia kafanya vizur cyo unafiki. Uo
 
alikiba anajua kuimba lakini, yupo so local atabaki hivyohivyo kama mwenzake banana zorro
 
Back
Top Bottom