Raha ya peponi hakuna anayejua isipokuwa ni mwana wa Mungu tu,
Ni vile tu pale siku ya hukumu itakapofanyika kwa wale watenda mazuri na kutenda mambo mema hapa duniani ndo watakapo kwenda kuishi huko,Namuomba Mungu hata mimi nije kuwa miongoni mwao hao watakatifu
Mkuu kuna wanaosema ukifa tu unaenda motoni au peponi instantly, na wanatoa mfano wa kisa alichotoa Yesu cha tajiri na Lazaro..lakini hufiki siku hiyo hiyo bali utakaa kaburini mpaka siku ya kiama..siku ya hukumu kuu...matendo yako mema katika utimilifu wake na uchaji wako kwa Mungu wako ndio tiketi ya kukupeleka peponi....
Milele maana yake ni infinity yaani bila kikomo...na roho nje ya mwili ndio huishi milele...roho haifiDu, kwa hiyo wote waliolala hata kabla ya Kristo bado roho zao ziko mavumbini? Hawako peponi wala motoni? Kumbe hii ndo maana ya milele kudadadeki.
Nyakati za Kristo ni tofauti kabisa na hizi ..mambo mengi yaliyotokea nyakati zile yalikuwa ni ili ufunuo utimie..kama ingekuwa hakuna dhana ya kiama kiimani basi tusingehubiriwa habari za Kristo kurudi na hukumu ya mwishoMkuu kuna wanaosema ukifa tu unaenda motoni au peponi instantly, na wanatoa mfano wa kisa alichotoa Yesu cha tajiri na Lazaro
Na kwamba unaweza ukawa motoni, sisi huku ndugu zako na marafiki tukapiga maombi( maombi ya wafu) ukatolewa huko kwenye moto ukaingia peponi
Hii imekaaje
Pamoja sana kaka.Nyakati za Kristo ni tofauti kabisa na hizi ..mambo mengi yaliyotokea nyakati zile yalikuwa ni ili ufunuo utimie..kama ingekuwa hakuna dhana ya kiama kiimani basi tusingehubiriwa habari za Kristo kurudi na hukumu ya mwisho
Kuhusu mfu kuombewa na ndugu zake ili apate afueni huko aliko hili haliwekani tena..toba na msamaha ni wakat unapokuwa hai kwenye mwili huu wa nyama unaotambua mema na mabaya
Huwa tunasanibisha ama kuchanganya hivi vitu viwili
PEPO ni jina ama ni kiambishi cha kiwakilishi cha hali fulani ikiwa na maana ya kitu chema sana mfano
Kuishi katika pepo ya mahusiano
Kuishi katika pepo ya ukwasi
Kuishi katika pepo ya umaarufu,heshima ,kuabudiwa nk
PEPONI ni mahali dhana pa kufikirika...mahali pazuri penye utimilifu wa vitu vyote vema.. na kwa mazoea ya kiasili ...peponi panafikika tu baada ya kuondoka toka maisha haya yaani kufa lakini hufiki siku hiyo hiyo bali utakaa kaburini mpaka siku ya kiama..siku ya hukumu kuu...matendo yako mema katika utimilifu wake na uchaji wako kwa Mungu wako ndio tiketi ya kukupeleka peponi. Tunapowaombea marehemu wakalale mahali pema peponi sio sasa bali ni siku ya kiama!
Kwa muktadha huu basi pepo kwa maana asili ya msingi inashabihiana na peponi..kwa tafsiri ya uzuri, wema, starehe na raha zote unazojua na usizozijua...hivi viwili ni ukamilifu wa kula bata katika viwango vya juu mno!
Pepo na peponi ni kwa ajili ya kuufurahisha na kuupa ridhiko kuu mwili wa nyama na mwili wa roho...ndio maana huwa tunasikia kuna wenzetu wanaishi pepo ya dunia...kwamba kwa maisha wanayoishi na simulizi tuambiwazo kuhusu peponi basi hawa huanza hayo maisha hata kabla ya kufa
Sasa MAPEPO ninini? Mapepo ni wingi wa pepo...pepo ni umoja...Kama nilivyotangulia kusema kuwa pepo ni dhana dhanifu ya kitu chema basi kuna roho zilizolala kaburini kusubiri kiama ambazo hukengeuka na kutoroka kwenda kuitafuta pepo ya peponi kabla ya kiama.
Ni roho hizi zilizokengeuka ndio hugeuka mapepo ya viwakilishi mbalimbali vya starehe za kidunia na mapepo maarufu sana ni mapepo ya vilevi na ngono, huku pepo kuu likiwa ni ngono kutokana na ile kitu tunaambiwa dhambi ya asili pale Eden
Mapepo hugeuka kadhia kwa wengine kwakuwa yanakupa pepo ya muda tuu na hii ni kutokana na kuwa hawana kibali bado cha kufanya hayo bali ni kama wizi ama kunyapia tu. katika mwili wako wa nyama unaweza kuona kadhia ukishamaliza lakini utataka tena na tena kwakuwa si wewe bali ni pepo
Kwa tafsiri hii ya pepo, tunafichwa mengi kuhusu peponi japo kuna baadhi ya simulizi za kiimani kuwa huko peponi ni bata tu la kula vigoli tupu ...yaani zote ni brand new unavunja mwenyewe.
Je, pepo lako ni lipi? Na linapokuingia si unahisi uko peponi kabisa?[emoji3][emoji3][emoji3]
Good morning Tanganyika!!!
Mara nyingi pepo liko moja tu kwa mtu mmoja..huwezi kuingiliwa na mapepo mengi kwa wakati mmojasasa pepo walokole wana litumia vibaya basi wakiombea mtu wanasema wanatoa pepo haya wengine wanasema pepo ni sehemu yenye uzuri usio na mwisho(paradise)