Tofauti na binadamu kuna wanyama wengine wanapiga Mgalala (Punyeto)

Msumb

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2022
Posts
3,452
Reaction score
5,372
Tofauti na binadamu kuna wanyama wengine wanapiga Mgalala

Hawa ni wanyama 9 wanaopiga Mgalala

1. sokwe
2. tembo
3. Popo
4. konokono
5. nyangumi
6. walarasi
7. panya
8. mjusi
9. Ngwini

Na Mwenye macho aelewe😆
 
Tofauti na binadamu kuna wanyama wengine wanapiga Mgalala

Hawa ni wanyama 9 wanaopiga Mgalala

1. sokwe
2. tembo
3. Popo
4. konokono
5. nyangumi
6. walarasi
7. panya
8. mjusi
9. Ngwini

Na Mwenye macho aelewe😆
We jamaa utakua Ni MTU wa Lake zone..

Umenikumbusha msamiati ""MGALALA" ilikua Ni early 90's huko lake zone 😊 huo msamiati MGALALA ndipo niliusikiaga
 
🤣🤣🤣 mgalala umenikumbusha mbali na hilo jina kipindi nipo shule but kuna watu hawataelewa maana yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…