Tofauti na DSTV, king'amuzi gani kitaonesha FIFA world cupa 2022?

Tofauti na DSTV, king'amuzi gani kitaonesha FIFA world cupa 2022?

Darwin Nunez

Member
Joined
Jun 12, 2022
Posts
90
Reaction score
212
Wakuu

Nimekuwa nikitafuta kujua ni kingamuzi gani kitaonesha fifa world cup 2022 ili nikinunue kwa sasa na matumizi ya badae

Dstv hapana, sababu sitaweza kumudu kile kifurushi kikubwa chenye epl na uefa hivyo kitakuwa pambo tu
 
Hamna option iliyopo mezani hadi sasa... labda channel za Taifa zitaonyesha ila itakua baadhi ya matches.
 
Back
Top Bottom