Tofauti na wasanii wa WCB, je kuna wasanii wengine wanapata show za maana Tanzania kwa sasa?

Mbn huwataji akina King kiba, nandy, wozu, nenga au unataka kutuaminisha show zinapigwa na wasafi tuuu?...kuna watu jeuri hao akina ali kiba hata akifanya show mwez mtukufu anajaza....
Ali Kiba mnampa sifa za bure.....ndiyo maana anafeli kabisa
 
Mbn huwataji akina King kiba, nandy, wozu, nenga au unataka kutuaminisha show zinapigwa na wasafi tuuu?...kuna watu jeuri hao akina ali kiba hata akifanya show mwez mtukufu anajaza....
Kupata kichekesho kama hiki Tuma neno KING KIBA kwenda 15300 [emoji16]
 
Kuna kad go,songa, gheto ambassador, one the incredible,wakazi,Nikki mbishi,zaiid,p the mc,cjamoker,mujwahuki,duke touchez, nk
Na mimi mludego tunapiga show pale msasani kilingeni kila wiki

Sema kwakua hutujui hujatuja
 
We salim mbona unabishana na babu tale?
Anadanganya uma, eti ni wcb ndo wanafanya show peke yao, nachojiuliza inakuaje wanapewa zawadi ya gari badala ya kununua kwa mkwanja wanaopata
 
Ku

Kumbe huwa wanapewa kama zawadi? Nikajua ni huchotwa sehemu ya kipato chao
 
Bila kufanya hivyo italeta aibu msanii anakosa gari so inabidi uongozi ufanye jitihada msanii angalau awe na gari nyumba itasubiri kwanza hadi Said Fella aamue
 
Mbn huwataji akina King kiba, nandy, wozu, nenga au unataka kutuaminisha show zinapigwa na wasafi tuuu?...kuna watu jeuri hao akina ali kiba hata akifanya show mwez mtukufu anajaza....
Alikiba akiandaa Show sehemu moja na Mboso trust me hawezi kumfikia Mboso kwa idadi ya Nyomi kashazeeka
 
Mkuu apo ulipoanza Na diamond ungeanza ma Harmonize hakuna msani anaye piga show nyingi Na zahela nyingi kama harmonize afu ndo wanafuatia ao wengine
Jamaa umetokea kuwa shabiki wa Harmonize
 
Back
Top Bottom