Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu embu tusaidie kama hii ndio fact wazungu wa australia na waafrika wa australia (aborigines) wameishi zaidi ya miaka 100 sasa nchi moja rasilimali moja mazingira inakuaje Mzungu wa kule IQ yake ikawa kubwa kuliko IQ ya mweusi waliemkuta if at all wanashare resources zilezile eneo lile kipi kimewatofautishaNani amekwambia kuwa Egypt ama Israel wana mazingira magumu? Unazifananisha na nani katika kuwa na mazingira magumu?
Kwa taarifa yako, Misri alongside Mesopotamia, ndiyo maeneo bora zaidi kiuzalishaji duniani toka ustaarabu wa mwanadamu kuanza. Hiyo ni kwa sababu, maeneo hayo ni makame but yamekuwa yakipata maji kupitia mafuriko ya Mito Nile na Tigris-Euphrates. Mafuriko kwenye mito hiyo yalirahisisha kilimo cha mwanzoni cha kutifua ardhi kwa kutumia miti kutokana na maeneo hayo kuwa na ardhi yenye rutuba. Ndiyo maana, The Nile Delta is by far the most densely populated basin (region) in Afrika and only behind Ganges Basin (India & Bangladesh) and Chang Jiang Basin (China) and Java Island (Indonesia) on population density.
Sasa kama, Misri wana hali ngumu, wangekuwaje wengi kuliko maeneo yote barani Afrika?
Hata Israel, licha ya eneo lake kubwa Kusini kuwa jangwa, bado ilikuwa na ardhi nzuri yenye rutuba na hali ya hewa nzuri hasa katika Mikoa ya Galilaya, Samaliya na Yudea, iliyostawisha matunda na kilimo cha ngano. Kwa lugha nyingine, ukiacha Uturuki, Iran, Lebanon na Syria, na ukitoa Misri na Iraq (Mesopotamia) zinazotegemea kilimo cha umwagiliaji, hakuna nchi nyingine ya Mashariki ya Kati (Asia Minor) yenye hali nzuri ya hewa kama Israel. Israel ni bora kuliko Saudia, Yemen, Oman, Emirates, Qatar, Kuwait, Palestine.
Dah!! Nimeyapenda sana maswali yako hayo mawili yaliyojaa akili.Mkuu embu tusaidie kama hii ndio fact wazungu wa australia na waafrika wa australia (aborigines) wameishi zaidi ya miaka 100 sasa nchi moja rasilimali moja mazingira inakuaje Mzungu wa kule IQ yake ikawa kubwa kuliko IQ ya mweusi waliemkuta if at all wanashare resources zilezile eneo lile kipi kimewatofautisha
Ukienda Uganda kuna mvua sana mkuu almost kila cku mvua inanyesha ila kivp Ankole wamekuwa na akili sana kuliko baganda in terms of IQ wakati mazingira yaleyale sehemu ileile resource ileile shida ni nini hadi watofautiane???
Kuhusu Ankole kuwa na akili nyingi kuliko Baganda, hiyo nayo inatokana na hiyo concept ya genetics. Kiasili Ankole wana jeni nyingi za Hamitic (Bahima) kuliko Baganda. Vilevile, Wanyankole wana sifa karibia zote nilizotaja zinazochochea afya na akili. Licha ya sifa hizo pia kuwepo kwa Baganda, bado kwa Wanyankole hakuna malaria, malale na homa ya manjano tofauti na Baganda. Hii inatokana na miinuko ya Wanyankole.Mkuu embu tusaidie kama hii ndio fact wazungu wa australia na waafrika wa australia (aborigines) wameishi zaidi ya miaka 100 sasa nchi moja rasilimali moja mazingira inakuaje Mzungu wa kule IQ yake ikawa kubwa kuliko IQ ya mweusi waliemkuta if at all wanashare resources zilezile eneo lile kipi kimewatofautisha
Ukienda Uganda kuna mvua sana mkuu almost kila cku mvua inanyesha ila kivp Ankole wamekuwa na akili sana kuliko baganda in terms of IQ wakati mazingira yaleyale sehemu ileile resource ileile shida ni nini hadi watofautiane???
Soma hii thread:Mkuu embu tusaidie kama hii ndio fact wazungu wa australia na waafrika wa australia (aborigines) wameishi zaidi ya miaka 100 sasa nchi moja rasilimali moja mazingira inakuaje Mzungu wa kule IQ yake ikawa kubwa kuliko IQ ya mweusi waliemkuta if at all wanashare resources zilezile eneo lile kipi kimewatofautisha
Ukienda Uganda kuna mvua sana mkuu almost kila cku mvua inanyesha ila kivp Ankole wamekuwa na akili sana kuliko baganda in terms of IQ wakati mazingira yaleyale sehemu ileile resource ileile shida ni nini hadi watofautiane???
Kwa fact hizi basi nikubaliane na concept yako hii however niulize je nkiwaweka aborigines na caucasoids kwenye eneo moja je itachukua miaka mingapi wafanane akili au ndio ishakula kwao aborigines kwa sababu ya genes walizorithi??Kuhusu Ankole kuwa na akili nyingi kuliko Baganda, hiyo nayo inatokana na hiyo concept ya genetics. Kiasili Ankole wana jeni nyingi za Hamitic (Bahima) kuliko Baganda. Vilevile, Wanyankole wana sifa karibia zote nilizotaja zinazochochea afya na akili. Licha ya sifa hizo pia kuwepo kwa Baganda, bado kwa Wanyankole hakuna malaria, malale na homa ya manjano tofauti na Baganda. Hii inatokana na miinuko ya Wanyankole.
Haitatokea tena kulingana kwa kuwa, kutokana na maendeleo ya dunia, ambayo yamesababisha haya:Kwa fact hizi basi nikubaliane na concept yako hii however niulize je nkiwaweka aborigines na caucasoids kwenye eneo moja je itachukua miaka mingapi wafanane akili au ndio ishakula kwao aborigines kwa sababu ya genes walizorithi??