Mkuu embu tusaidie kama hii ndio fact wazungu wa australia na waafrika wa australia (aborigines) wameishi zaidi ya miaka 100 sasa nchi moja rasilimali moja mazingira inakuaje Mzungu wa kule IQ yake ikawa kubwa kuliko IQ ya mweusi waliemkuta if at all wanashare resources zilezile eneo lile kipi kimewatofautisha
Ukienda Uganda kuna mvua sana mkuu almost kila cku mvua inanyesha ila kivp Ankole wamekuwa na akili sana kuliko baganda in terms of IQ wakati mazingira yaleyale sehemu ileile resource ileile shida ni nini hadi watofautiane???
Dah!! Nimeyapenda sana maswali yako hayo mawili yaliyojaa akili.
Katika vigezo vya akili nilivyovitaja, sikuweka kwa makusudi point ya
asili ya jeni (
genetics) za mtu kwa kuwa sikutaka kuwachanganya.
Hata hivyo genetics inamaanisha ubora wa asili ya mtu tangu kipindi binadamu walivyoanza kujitofautisha katika
races kubwa za dunia hasa Caucasian (Wazungu), Semites (Waarabu), Hamites (Wakushi/Ethiopians), Mongoloids (Wachina), Negro na Wabantu.
Sasa, Jamii zilizotoka nje ya Afrika zaidi ya miaka 60,000 iliyopita, walitengeneza jeni bora kutokana na uzalishaji wa vyakula vingi kulinganisha na waliobaki Afrika. Vilevile, uwepo wa magonjwa hatari kiafya barani Afrika hasa:
malale, malaria na homa ya manjano, imewaacha Waafrika wakiwa wameathiriwa kiakili kuliko Jamii zilizotoka Afrika.
Kuhusu kwa nini
Aborigins wa Australia wana IQ ndogo kulinganisha na Wazungu licha ya kuishi zaidi ya miaka 100, inatokana na tofauti ya
genes tangu wanadamu walivyoachana somewhere in 100,000 - 60,000. Wakati mababu za Wazungu wanaelekea eneo la Asia Minor (Middle East/Levant/Mediterranean), mababu za Aborigines walipitia nchi zenye ukame za Saudia na Iran; zenye misitu mikubwa za India Sub-Continent (Pakistani, India, Bangladesh), Indo-Asia (Burma, Thailand, Malaysia, Indonesia) hadi Australia. Maeneo hayo yana magonjwa ya kitropiki mengi tofauti na ya Wazungu, ndiyo maana Aborigines hawakuendelea kiakili sana na hasa ukichukulia kuwa, walianza kutumia iron technology baada ya kuingia kwa Wazungu so hawakupata
food nutrients za kutosha.
Fikiria kuwa, ni iron technology iliyosababisha Wabantu kupiga Jamii zote Tanzania - Hamites (Wambulu) Highland Nilotes (Waberbaig/Datooga) na Bushmen (Wahadzabe na Wasandawe). Hata hivyo, Wabantu hawakufua daft kwa River Nilotes (Luo) kutokana na kwamba Nilotes ndio waliowafundisha Wabantu teknolojia ya chuma kipindi ambacho Wabantu walikuwa wanatoka Afrika Magharibi (1000 BC - 500 BC) walipofikia eneo la
Interlacustrine (Maziwa Makuu).
Hivyo, miaka 100 ni michache sana ukitaka kutofautisha akili za Wazungu na Aborigines. Ndiyo maana Black Americans wana-display na kuji-behave in African way than European way kwa kuwa miaka 500 tu waliyopelekwa huko America ni michache sana kulinganisha na miaka tuliyoachana nao somewhere in 60,000 years.