Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 Mar 24, 2025 #1 Wafanyabiashara wengi Tanzania kukuta wamebandika bei ili kuondoa usumbufu hawapendi. Na kitendo cha kuuliza tu bei hapo unatengenezewa bei nyingine kwa vile na wewe mnunuzi unapenda punguzo.
Wafanyabiashara wengi Tanzania kukuta wamebandika bei ili kuondoa usumbufu hawapendi. Na kitendo cha kuuliza tu bei hapo unatengenezewa bei nyingine kwa vile na wewe mnunuzi unapenda punguzo.
Masagala JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 4,663 Reaction score 9,335 Mar 24, 2025 #2 Hao ni wapigaji, now wanalialia swala la wachina naomba waendelee huja.
I implicit memory JF-Expert Member Joined Nov 14, 2024 Posts 2,109 Reaction score 2,157 Mar 25, 2025 #3 Sionagi mantiki ya kutoweka bei,ni supermarket tu ndo uweka bei,hawa wasioweka wanapenda saana waulizwe
Sionagi mantiki ya kutoweka bei,ni supermarket tu ndo uweka bei,hawa wasioweka wanapenda saana waulizwe
Midekoo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2015 Posts 47,776 Reaction score 257,882 Mar 25, 2025 #5 Kila mteja anauziwa kwa Bei yake inategemea umekuja na muonekano gani sahau swala la kuwekewa Bei...
The Burning Spear JF-Expert Member Joined Dec 23, 2011 Posts 9,205 Reaction score 22,219 Mar 25, 2025 #6 Midekoo said: Kila mteja anauziwa kwa Bei yake inategemea umekuja na muonekano gani sahau swala la kuwekewa Bei... Click to expand... Na hapo ndo ujinga wa kulalamikia wachina unapoanzia
Midekoo said: Kila mteja anauziwa kwa Bei yake inategemea umekuja na muonekano gani sahau swala la kuwekewa Bei... Click to expand... Na hapo ndo ujinga wa kulalamikia wachina unapoanzia