Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Ya Azam haya hapa juziNitakupatia msimu ujao Mtani. [emoji3][emoji3][emoji3]
Mtani hebu huko. π πHadi hurumaView attachment 1111887
Mmh. Mkuu ulikuwa unafuatilia ligi ya Spain?Simba alishakua bingwa wiki kadhaa, hivyo chereko cheteko za ubingwa zishapungua, Sari hii ni fainali mpaka anaingia uwanjani hakukua na bingwa hivyo mayokeo ya ndani ua dakika tisini ndio uamemfanua awe hivyo.
Sari akikabidhiwa hilo kombe leo hataonyesha same reaction kama siku ya mechi.
Mjadala umefungwa
πMtani hebu huko. π π
Mawazo ya ovyo kabisa.. CITY bingwa EPL.. Wakati fainali ya UEFA wanacheza Spurs na Liverpool.. Mikia mnashindwa kukubali mmebebwa. . Nimemsikia Manyara leo Efm radio anadai mabadiliko ya ratiba ya CAF ndio maana viporo vingi.. DRC, Misri, Tunisia, Morocco, SA nk mbona kote huko Hakuna viporo zaidi ya viwili. . Wakina Kambuzi walikuwa wengi wamewapa mikia ubingwaHawa yanga wanataka team iliyoingia robo fainali isiwe bingwa wa nchi huu ni wendawazimu kabisa Team hii imetolewa na bingwa wa drc kuonyesha ubabe wake J soura wako nafasi ya tatu, Vita wameishia nafasi ya pili, club bingwa wajipange Simba ni hatari
Mawazo ya ovyo kabisa.. CITY bingwa EPL.. Wakati fainali ya UEFA wanacheza Spurs na Liverpool.. Mikia mnashindwa kukubali mmebebwa. . Nimemsikia Manyara leo Efm radio anadai mabadiliko ya ratiba ya CAF ndio maana viporo vingi.. DRC, Misri, Tunisia, Morocco, SA nk mbona kote huko Hakuna viporo zaidi ya viwili. . Wakina Kambuzi walikuwa wengi wamewapa mikia ubingwa
Wangewapa na tool box yenye spana kwa ajili ya kutengenezea pikipiki zao.Hiyo ni blender sio kombe poleni sana mbeleko fc!
Blender hyo mmepewa kasageni juice mmuuzie mme wenu Mooo!
utangoja sana TPL tunaifanya ligi one na serie A bingwa mmoja miaka zaidi ya sabaubingwa wa kuteuliwa ni kama viti maalumu yaani hujashindanishwa ,umetafutiwa tu ,na nadhani wataukabidhi msimu ujao kwa mabingwa wa ukweli
Labda muwaongeze wakina kambuzi wengineutangoja sana TPL tunaifanya ligi one na serie A bingwa mmoja miaka zaidi ya saba
Km inakukera sn c UFE TU UNANGOJA NN?###The real passion of the champion...View attachment 1111827View attachment 1111828