Tofauti ya bingwa mteuliwa na bingwa...

Tofauti ya bingwa mteuliwa na bingwa...

Nitakupatia msimu ujao Mtani. [emoji3][emoji3][emoji3]
Ya Azam haya hapa juzi
FB_IMG_1559197806245.jpeg
 
Simba alishakua bingwa wiki kadhaa, hivyo chereko cheteko za ubingwa zishapungua, Sari hii ni fainali mpaka anaingia uwanjani hakukua na bingwa hivyo mayokeo ya ndani ua dakika tisini ndio uamemfanua awe hivyo.

Sari akikabidhiwa hilo kombe leo hataonyesha same reaction kama siku ya mechi.

Mjadala umefungwa
Mmh. Mkuu ulikuwa unafuatilia ligi ya Spain?

Uliwaona Barcelona wakati wanakabidhiwa kombe mbona walikuwa na furaha tele wakati walishajijua kitaambo kwamba wao ni mabingwa?

Sema tu mlihonga saana. 😎
 
Hawa yanga wanataka team iliyoingia robo fainali isiwe bingwa wa nchi huu ni wendawazimu kabisa Team hii imetolewa na bingwa wa drc kuonyesha ubabe wake J soura wako nafasi ya tatu, Vita wameishia nafasi ya pili, club bingwa wajipange Simba ni hatari
Mawazo ya ovyo kabisa.. CITY bingwa EPL.. Wakati fainali ya UEFA wanacheza Spurs na Liverpool.. Mikia mnashindwa kukubali mmebebwa. . Nimemsikia Manyara leo Efm radio anadai mabadiliko ya ratiba ya CAF ndio maana viporo vingi.. DRC, Misri, Tunisia, Morocco, SA nk mbona kote huko Hakuna viporo zaidi ya viwili. . Wakina Kambuzi walikuwa wengi wamewapa mikia ubingwa
 
hakuna team Tanzania zaidi ya Simba vijiteam vingine kama yanga hata congo havijulikani kama unabisha endelea kulalamika This is simba tutaendelea kuwafunza adabu
Mawazo ya ovyo kabisa.. CITY bingwa EPL.. Wakati fainali ya UEFA wanacheza Spurs na Liverpool.. Mikia mnashindwa kukubali mmebebwa. . Nimemsikia Manyara leo Efm radio anadai mabadiliko ya ratiba ya CAF ndio maana viporo vingi.. DRC, Misri, Tunisia, Morocco, SA nk mbona kote huko Hakuna viporo zaidi ya viwili. . Wakina Kambuzi walikuwa wengi wamewapa mikia ubingwa
 
ubingwa wa kuteuliwa ni kama viti maalumu yaani hujashindanishwa ,umetafutiwa tu ,na nadhani wataukabidhi msimu ujao kwa mabingwa wa ukweli
utangoja sana TPL tunaifanya ligi one na serie A bingwa mmoja miaka zaidi ya saba
 
Back
Top Bottom