Tofauti ya binti wa kizungu na binti wa kibongo

Tofauti ya Binti wa Kizungu na Binti wa Kibongo pale ambapo Mwanaume wake atokapo kuoga.

Binti wa Kizungu: *Baby you look nice and fresh.*

Binti wa Kibongo: *Naona safari imeiva, Mwanaume hupumziki kama nesi wa zamu*

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
hahahaaaa!unaenda kwa mahawara zako huko tayari!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Tofauti ya Binti wa Kizungu na Binti wa Kibongo pale ambapo Mwanaume wake atokapo kuoga.

Binti wa Kizungu: *Baby you look nice and fresh.*

Binti wa Kibongo: *Naona safari imeiva, Mwanaume hupumziki kama nesi wa zamu*

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Dead [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tofauti ya Binti wa Kizungu na Binti wa Kibongo pale ambapo Mwanaume wake atokapo kuoga.

Binti wa Kizungu: *Baby you look nice and fresh.*

Binti wa Kibongo: *Naona safari imeiva, Mwanaume hupumziki kama nesi wa zamu*

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ole wako uchelewe kurudi utalala sebuleni [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hahahahaha 100% true...
baada ya mgegedo mwanamke wa kizungu anamsifu jamaa kwa show nzuri "baby you were so sweet today,thank you hny"

mwanamke wa kibongo "ayaaa umekojolea humo humo....,nitafutie chupi yangu niondoke"
 
Utasikia "unaenda wap!!"
Kumbe umeoga kutoa uchovu na kuwa smart na wala hauna ratiba yeyote
Wananikera mno mno mno bac tu
 
Back
Top Bottom