Tofauti ya Botswana Democratic Party na CCM!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Botswana Democratic Party ni chama tawala cha Botswana na kimeongoza nchi toka uhuru 1966 na CCM ambayo ilikuwa Tano kimeongoza Tanzania toka 1961.

Tofauti kubwa ni kwamba chama cha Botswana kimeleta maendeleo makubwa kwa nchi na kulinda rasilimali.

Chama hiki kimekomesha rushwa . Kwa upande mwingine CCM kimeshindwa kutokomeza utamaduni wa rushwa, umasikini wa kutupa na ubinafsi mkubwa kwa viongozi wetu.

Utamaduni na kinafiki na kufuria kimasikini na uchawa badala ya maendeleo ya watu.

Hivyo tatizo sio kuongoza muda mrefu bali kuleta maendeleo.

Hakuna sababu ya msingi Kenya kutuzidi kiuchumi! Sisi uzalishaji mdogo na rushwa nyingi.

CCM jifunzeni badala ya kutuletea uchawa
 
Ni muhimu ikafahamika wazi kwamba,
mataifa mengi yanayofanya vizuri kisiasa , kijamii na kiuchumi, Africa Mashariki na Africa Kwa ujumla yamejifunza Tanzania.

ni muhimu zaidi wakaendelea kujifunza zaidi kwenye eneo la ulinzi, usalama na amani, maeneo ambayo bado ni changamoto sana katika maeneo yao.

Tanzania kupitia Chama Cha ha Mapinduzi CCM, itaendelea kua kisiwa cha amani Africa na duniani kote, huku ikiendelea kudumisha umoja, amani, utulivu na utangamano wa wananchi wake kwa kuimarisha utoaji wa huduma bora za kijamii, mazingira bora na ya usawa kisiasa lakini pia, mazingira bora zaidi ya kibishara, uwekezaji, kilimo, ufugaji n.k kua bora zaidi na kuchochea uchumi wa kila mTanzania 🐒
 
Wanatumia unyumbu wa kisiasa, unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanao pewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga kwa viongozi wao bila utii, (unafiki), a. K.a kujizima data, tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo, (uchawa). Uchumi wetu mbovu unakolezwa pia na viongozi wetu wa kitaifa wanapo tengeneza ushirika na nchi zingine kwa masilahi binafsi kwa kiasi kidogo tu hugusa maendeleo ya nchi ama kuondoa umasikini wa wananchi
 
Botswana Democratic Party ni chama tawala cha Botswana na kimeongoza nchi toka uhuru 1966 na CCM ambayo ilikuwa Tano kimeongoza Tanzania toka 1961.

Tofauti kubwa ni kwamba chama cha Botswana kimeleta maendeleo makubwa kwa nchi na kulinda rasilimali.

Chama hiki kimekomesha rushwa . Kwa upande mwingine CCM kimeshindwa kutokomeza utamaduni wa rushwa, umasikini wa kutupa na ubinafsi mkubwa kwa viongozi wetu.

Utamaduni na kinafiki na kufuria kimasikini na uchawa badala ya maendeleo ya watu.

Hivyo tatizo sio kuongoza muda mrefu bali kuleta maendeleo.

Hakuna sababu ya msingi Kenya kutuzidi kiuchumi! Sisi uzalishaji mdogo na rushwa nyingi.

CCM jifunzeni badala ya kutuletea uchawa
Mkuu ni sawa sana ullivyoeleza. Uwajibikaji wa serikali ya BDP ni mkubwa sana.

LAKINI itakuwa vyema zaidi ukielezea pia "janja" ya kimfumo inayotumika kuihakikishia BDP madaraka enzi zote tangu uhuru bila kuruhusu hata angalau interval moja ya chama kingine kushika madaraka (ili upimaji uwe makini zaidi).

Si rahisi kuamini kuwa wananchi wa Botswana hawajataka kuonja mabadiliko ya uongozi tangu 1966. Si hulka ya binadamu hiyo.
 
Kiuchumi kati ya Tanzania na Botswana nani yupo juu?
 
Ccm nacho ni chama au genge?
 
Mkuu ni sawa sana ullivyoeleza. Uwajibikaji wa serikali ya BDP ni mkubwa sana.

LAKINI itakuwa vyema zaidi ukielezea pia "janja" ya kimfumo inayotumika kuihakikishia BDP madaraka enzi zote tangu uhuru bila kuruhusu hata angalau interval moja ya chama kingine kushika madaraka (ili upimaji uwe makini zaidi).

Si rahisi kuamini kuwa wananchi wa Botswana hawajataka kuonja mabadiliko ya uongozi tangu 1966. Si hulka ya binadamu hiyo.
Ndio Maana Nchi yao kila mtu anatamani kuishi kule.
 
Ni muhimu ikafahamika wazi kwamba,
mataifa mengi yanayofanya vizuri kisiasa , kijamii na kiuchumi, Africa Mashariki na Africa Kwa ujumla yamejifunza Tanzania.

ni muhimu zaidi wakaendelea kujifunza zaidi kwenye eneo la ulinzi, usalama na amani, maeneo ambayo bado ni changamoto sana katika maeneo yao.

Tanzania kupitia Chama Cha ha Mapinduzi CCM, itaendelea kua kisiwa cha amani Africa na duniani kote, huku ikiendelea kudumisha umoja, amani, utulivu na utangamano wa wananchi wake kwa kuimarisha utoaji wa huduma bora za kijamii, mazingira bora na ya usawa kisiasa lakini pia, mazingira bora zaidi ya kibishara, uwekezaji, kilimo, ufugaji n.k kua bora zaidi na kuchochea uchumi wa kila mTanzania 🐒
Umeandika ngonjera ya ajabu kabisa,kwamba Tanzania ina huduma bora kabiaa za kijamii? Ina usawa kisiasa? Yaani kwamba ukimpinga samia hutekwi wala huuliwi tena? Kwamba kura haziporwi tena? Na wakubwa kama fatuma kigondo wakituma watu wakabake na kulawiti wanachukuliwa hatua stahiki kama mimi tu? Nq akina Mafwele wanaweza kusimamishwa mahakamani kujibu tuhuma zao za utekaji na mauaji waliyoyafanya bila upendeleo? Basi hiyo ni tanzania mpya, siyo ile tunayoijua.
 
Botswana Democratic Party ni chama tawala cha Botswana na kimeongoza nchi toka uhuru 1966 na CCM ambayo ilikuwa Tano kimeongoza Tanzania toka 1961.

Tofauti kubwa ni kwamba chama cha Botswana kimeleta maendeleo makubwa kwa nchi na kulinda rasilimali.

Chama hiki kimekomesha rushwa . Kwa upande mwingine CCM kimeshindwa kutokomeza utamaduni wa rushwa, umasikini wa kutupa na ubinafsi mkubwa kwa viongozi wetu.

Utamaduni na kinafiki na kufuria kimasikini na uchawa badala ya maendeleo ya watu.

Hivyo tatizo sio kuongoza muda mrefu bali kuleta maendeleo.

Hakuna sababu ya msingi Kenya kutuzidi kiuchumi! Sisi uzalishaji mdogo na rushwa nyingi.

CCM jifunzeni badala ya kutuletea uchawa
CCM must go!
 
Umeandika ngonjera ya ajabu kabisa,kwamba Tanzania ina huduma bora kabiaa za kijamii? Ina usawa kisiasa? Yaani kwamba ukimpinga samia hutekwi wala huuliwi tena? Kwamba kura haziporwi tena? Na wakubwa kama fatuma kigondo wakituma watu wakabake na kulawiti wanachukuliwa hatua stahiki kama mimi tu? Nq akina Mafwele wanaweza kusimamishwa mahakamani kujibu tuhuma zao za utekaji na mauaji waliyoyafanya bila upendeleo? Basi hiyo ni tanzania mpya, siyo ile tunayoijua.
usiwe na muhemko gentleman, just relax..

hizo ni dhana dhaifu na potofu ambazo hazina athari zozote kisiasa, kijamii wala kiuchumi nchini..

na wala hazitatizi chochote kwa Tanzania kua kisiwa cha amani duniani.

vyama vya kisiasa ni muhimu vijajikita katika sera na mipango mikakati mbadala dhidi ya inayotekelezwa na serikali sikivu ya CCM..

kutegemea ushirikiana, ramli chonganishi, kutoana kafara wenyewe kwa wenyewe ndani ya vya vya siasa, kuchukuana misukule eti kwajili ya uongozi wa chama na kusingizia wengine ni nonsense na useless politics. Mtaumizana na mtamalizana.

CCM itabaki chama mama na nguli wa siasa za mipango barani Africa, na CCM itaendelea kuaminika na kukubalika zaidi kwa waTanzania kwa namna ambavyo inaendelea kuwapelekea wananchi maendeleo endelevu ya kisiasa, kijamii na kiuchumi 🐒
 
Ni muhimu ikafahamika wazi kwamba,
mataifa mengi yanayofanya vizuri kisiasa , kijamii na kiuchumi, Africa Mashariki na Africa Kwa ujumla yamejifunza Tanzania.

ni muhimu zaidi wakaendelea kujifunza zaidi kwenye eneo la ulinzi, usalama na amani, maeneo ambayo bado ni changamoto sana katika maeneo yao.

Tanzania kupitia Chama Cha ha Mapinduzi CCM, itaendelea kua kisiwa cha amani Africa na duniani kote, huku ikiendelea kudumisha umoja, amani, utulivu na utangamano wa wananchi wake kwa kuimarisha utoaji wa huduma bora za kijamii, mazingira bora na ya usawa kisiasa lakini pia, mazingira bora zaidi ya kibishara, uwekezaji, kilimo, ufugaji n.k kua bora zaidi na kuchochea uchumi wa kila mTanzania 🐒

Wamejifunza nini na umasikini wetu! Amani watu wanauliwa mchana kweupe ni amani kwa watu wa CCM huko upinzani kuna waliochinjwa na kupigwa risasi. Nenda Botwana au hata Kenya mtafute mpinzani aliyepigwa risasi au kuuliwa ! Tuache unafiki hakuna cha kujifunza hapa kwetu zaidi ya uchawa
 
Bila kuwepo upinzani mkubwa ni vigumu nchii hii kumpata magufuli mwingine
 
Back
Top Bottom