Botswana Democratic Party ni chama tawala cha Botswana na kimeongoza nchi toka uhuru 1966 na CCM ambayo ilikuwa Tano kimeongoza Tanzania toka 1961.
Tofauti kubwa ni kwamba chama cha Botswana kimeleta maendeleo makubwa kwa nchi na kulinda rasilimali.
Chama hiki kimekomesha rushwa . Kwa upande mwingine CCM kimeshindwa kutokomeza utamaduni wa rushwa, umasikini wa kutupa na ubinafsi mkubwa kwa viongozi wetu.
Utamaduni na kinafiki na kufuria kimasikini na uchawa badala ya maendeleo ya watu.
Hivyo tatizo sio kuongoza muda mrefu bali kuleta maendeleo.
Hakuna sababu ya msingi Kenya kutuzidi kiuchumi! Sisi uzalishaji mdogo na rushwa nyingi.
CCM jifunzeni badala ya kutuletea uchawa