Tofauti ya CCM na CHADEMA: CCM wanatumia Show Off ya Magari, mabango na Wasanii kutangaza Mkutano wao,Chadema wanatumia midahalo yenye hoja nzito!

pamoja na kwamba huo ni ushabiki na mtaamo wako, kumbuka huwezi kumlinganisha Tembo na Sungura. CCM ni chama kubwa sana na tajiri, Chadema ni katoto tu ambako hakana rasilimali yoyte hasa fedha. Suala la kwamba Chadema wana hoja ni kwamba umepumbazwa na ushabiki huwezi kuielewa CCM WEWE
Mkuu, sio kweli kwamba kwa sasa CCM ni chama kubwa! bali ukubwa uliopo ni kwa sababu KIMEKUMBATI HAZINA YA TAIFA, siku HAZINA hiyo ikichukuliwa na wenye HAZINA, kitapotea kwenye ramani kama ilivyo kuwa kwa KANU.
 
..it will never happen
 
Back
Top Bottom