Kiluuj
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 692
- 277
Sio kwamba nimebadilika na kuanza kumshabikia Chibu. Mi Napenda kazi zuri.
Wengi wanamshabikia pasi kujua utofauti wake na wasanii wengine. Chibu ni mfanyabiashara na kazi yake ni muziki, na ndio maana anachukulia muziki serious. Anajua kutafuta soko kupitia collabo na wasanii maarufu.
Akiingia jukwaani hafanyi mchezo , kazi hadi wanamkubali.
Hakuna biashara isiyo na hasara na siku zote Chibu yuko tayari kugharamika hili aje kupata faida.
Mfano, wakati Neyo alikuwa Kenya, alikuwa akilala chumba cha Tsh 1000000 kwa siku. Kwa vile Chibu anajua biashara, alienda akakodi chumba next to Neyo pasi kujali gharama kwa hiyo ikawa rahisi wao kukutana. Hicho ndicho chanzo cha kolabo yao.
Mondi ametoka na warembo kibao ila hakuna aliyekuwa na akili za biashara na alipokutana Bosslady akapata ubavu wake KIBIASHARA. Pia ukizitazama video za Chibu ziko tofauti na za wasanii wengine kiubora.
Yote Tisa, kumi ni faida baada ya kazi. Na ndio maana inasemekana ndiye msanii tajiri E.A.
Kudos Chibu for being a good businessman, keep it up.