Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
kuna jambo ambalo wanaoishi mikoani wata tupa mrejesho ijalishi ni mtumishi,umejiajili au umekwenda kutafuta maisha.
Kitu ambacho nimegundua mikoa yote ya tanzania ondoa dar kuna unyanyasaji wa kumuona mwenzake kashindwa au anguko lake ukilinganisha na Dar .
Dar hata kama umekuja na roli la mkaa hakuna mwenye hayo mambo ila pesa zako ndio zitakufanya uchukie dar mambo yakikuendea kombo.
upande wa watumishi dar kuanzia serikalini mpaka private kuna majungu sana na rahisi mambo yako kuwa wazi sababu hakuna ubize kama dar.
Mikoani hakuna siri utakaposema unajificha kufanya mambo yako private ndio maana watu wenye mambo yao uwenda dar .
Matajiri wengi au waliofanikiwa asilimia kubwa mitaji yao ikiwa mikubwa wanaamisha dar .
Hivi mshawai kugundua.