TOFAUTI YA Dawa HIZI ZA MAchunusi

TOFAUTI YA Dawa HIZI ZA MAchunusi

kichwanazi

Member
Joined
Apr 11, 2013
Posts
89
Reaction score
9
JAMANI NAOMBENI UCHAURI KUHUSU HIZI DAWA IPI NZURI KWA KUTIBU CHUNUSI KATI YA HIZI BENZOYL PEROXIDE GEL 5(persol) NA ACZONE GEL (dapzone) ?
 
JAMANI NAOMBENI UCHAURI KUHUSU HIZI DAWA IPI NZURI KWA KUTIBU CHUNUSI KATI YA HIZI BENZOYL PEROXIDE GEL 5(persol) NA ACZONE GEL (dapzone) ?
taratibu basi UCHAURI utapata lkn we umejuaje kuwa hizo dawa zinatibu chunusi na ikawaje huyo aliyekuelekeza hizo dawa hakukupa UCHAURI!!!
 
tofauti ipo kwenye chemical composition,tumia hiyo benzoyl peroxide gel,(persol 5 gel)
 
Back
Top Bottom