Mtakesha xana mwaka huu na ndio tunaelekea ukingoni je? Tukituma pic ya diamond anachezea tumbo la Zari na kiba anaparfm on a stage mtasema nn?
Wenyewe ndo sisi wengine mafisi....
Mwanaume hasifiwi sura, pilika na kuhangaika...watoto hata sisimizi anaoKiba ni handsome kuliko ndomo ashukuru kuna miwani.
Kiba ni mwanaume ndio maana ana watoto.Huyo mwingine ...
View attachment 262468
Mmoja yuko bize kuupromoti mziki wake nje ya nchi, Mwingine yuko bize kupromoti tembo!
Tofauti yao nyingine ni hii hapa:
Diamond aachia video mpya
<font size="4">
Ali Kiba Aachia Picha za Video Tarajiwa
View attachment 262717
chibu ndo nn nyie Hamna kaz ngumu ka kukabidhiwa verse ya kwanza wenzio ndo wafate R.kelly alimkabidh Kiba usifikr kitu cha mchzo punguzen unaz ongeen ukwel.Wakat anachaguliwa domo alikua wap ??? Ngoma wamesimama wasanii kibao wanaojielewa lakin wamemsimamisha kiba
Acha ukiazi wewe hiyo ishu ilikuwa 2010 chibu ndio kwanza kaanza kuimba mziki akiwa na mwaka tu angekuwaje recognized mbele ya kibakuli... Na pili hilo lilikuwa zali tu ambalo halijamnufaisha lolote zaidi ya memory tu kuwa aliimba huo wimbo hakuna hata tuzo moja ya kimataifa aliyopata kutokana na hilo kusifiwa tu unasauti nzuri kajivimbisha mbele ya wakina faly, dbanj, 2face akafikiri mwandiko unaweza mfaulisha kwenye mtihani wakati kajaza pumba,,,, hayaa angalia sasa yeye yupo wapi leo? kashabakia historia kwa sababu za kijingajinga tu na wenzake Amani na Navio hawana kitu sahivi okey najuwa huwezi kukaa juu milele lakini at least kuna kitu unakuwa umefanya remarkable... anaishia kupiga picha anasema anashoot hahahahaha wamebaki hamna lolote wanaishia kuwapigia kura wenzao kila nomination za heshima international hoooooola si ajabu ukimuuliza 2face kuhusu kiba anakwambia kamsahau mtabaki na historia hivohivo badala ya kujifunza kwa dogo dangote
Na sahivi badala ya kuwapa mashabiki mzigo mpya au video anaenda kupiga debe na yeye kwenye daladala ili wamuonee huruma hana makuu principle za kizamani kinoma yanii, apige kaziiiii mi mbona mlaini tuu namsupport asilimia mia nane lakini si kwa upuuzi alionao sasa anasahau kama ye ni mwanamuziki na alipumzika kuusoma mchezo kumbe kisingizio aliishiwa, right if angekuwa kajifunza kitu asingekuwa na ulegelege alionao nadhani 20% atakuwa pacha wake sio mda