Tofauti ya Diamond na wasanii wengine wa Bongo

Tale: Kabakia na Madee tu ndo anajikongoja pale tiptop ingawa naye bado ni local

Fella: Atleast huyu naweza mpa credit za ubest manager kibongobongo, coz aliweza kusavaiv baada ya kuondokewa na bongofleva 'icon' kwa kipindi hicho Sir Nature Kiroboto, na kuwavumbua watoto waliotingisha nchi kwa ngoma baada ya ngoma (Yamoto Band).

#Mwisho wa siku kuwa na meneja bora ni moja, na kuweza kufanikiwa ni ishu nyingine, hapo ndo inahitaji uwezo binafsi.Madee, Chegge na Temba sikuzote wako palepale, hawaendi mbele wala hawarudi nyuma
 
+hongera Mondi, mchango wako unaonekana kuitangaza nchi hii kuna watu walikua hawalijui taifa hili!
 
Mimi ningependa kuona Fella anamtengeneza Diamond mwingine japo huyu wa sasa kajitengeneza mwenyewe ili awaprove watu wrong kuwa Dai kajitengeneza mwenyewe.

Na nnaemuona anaweza kufanya vizuri akisimama nae vizuri ni Dogo Asley.

Kiukweli wasanii wengine awaonyeshi kama wanataka kweli kufika mbali tunawalazimisha tu.
 
Kweli kabisa mtoa mada ila kuna kikubwa umekisahau hapo

**Malengo ni kitu cha muhimu saana katika kila unachokifanya katika carier yako.. Diamond tangu 2010 alipo bahatika kuchaguliwa kwenye nomination ya best upcoming artist MTVMAMA na kamwambie, nimebahatika kuona interview yake alipokuwa uingereza wakatihuo wakimfanyia interview kuhusu hilo,

""jamaa alisema muziki wetu wa bongo flavour unakubalika sana huku nje lakini hatujapata sana airtime kwakuwa hakuna wakujitangaza zaidi kimataifa (japokuwa alipiga show ya ukumbini tu!!)

""jamaa akasema ndoto yake kubwa ni kuutangaza muziki wake kimataifa na atafurahi sana akija kufika level ya kufanya collable na usher raymond""

Hivi vimemjenga kuto kuridhika na anachokipata na stage anayofikia japokuwa kote huko hakuwa na mameneja alionao sasa...

Cha mwisho ni thamani ya mwanamuziki.. wasanii wetu wengi miaka ya nyuma walikuwa waoga sana ilikuwa ni ngumu mtu unalipwa mil. 1 kwa show afu upandishe mpaka mil. 3 hivi ghafla kwa uoga wa kutokupata show... Mwenzao mpaka 2013 aliweka vidhibiti vya kutotaka kuonekana wa kawaida show ilikuwa milioni 10, na ukimshirikisha nyimbo yako 5 million... mpaka hivi sasa huwezi kuona just anybody anamshirikisha diamond mpaka yeye mwenyewe aone itakuwa na maslahi kwake (japokuwa wengi ndio wataona majigambo, ubinafsi, but ndio rules za biashara)
 
Kweli kabisa mkuu, kijana anaonesha ana malengo na hataki kuridhika kwa stage aliyofikia......ni muhimu na wengine wawe na moyo huu, sio kisa wanashangiliwa kwenye majukwaa ya fiesta ndo wabweteke na kuona wapo mahala sahihi.
 
Chibu Chibu oyeeee

Kumpigia kura tuzo za MTV AFRICA 2015

Ingia link hii, waweza piga mara nyingi anawania kategori

MAMA 2015

View attachment 262381

tunaendeleza mashambulizi kama kawaida watunyime wao tu ila tushazichukuwa tuwafundishe kwamba watanzania ukiachana na uchizi wa mitandaoni kutukanana tupo vizuri kwenye ku support kizuri..

Team no stress

Afu unajuwa kama k cee yupo south ameenda jana? it's obvious kama ameenda kushoot love boat maana diamond alisema inatoka after two weeks.. raha sana kwakweli yani ukiangalia trace top ten
Nana no. 3
Nakupenda no. 8
sasa zinakuja video nyingine mbili kiasikwamba ukicheki top ten ya Africa nyimbo 4 yupo diamond wwatajutaaaaaaaa
 
Hajui maana ya hili jukwaa achana nae huyo...
 
Habari nzuri hadi raha

Mungu azidi kumbariki
 
KIBAMONDI.jpg

Mmoja yuko bize kuupromoti mziki wake nje ya nchi, Mwingine yuko bize kupromoti tembo!
 
Hata mi naona kwakweli
kiba kashika tembo chibu kashika mic
kiba yupo mbugani chibu yupo studio
kazi kama kawa hakuna women empowerment ni kazi tu, kazi tu, kazi tu yani
 
Ati nini, women empowerment?
 
Tukubali ukweli kuwa Ali Kiba kufika level za Diamond haiwezekani....
 
Back
Top Bottom