kende
JF-Expert Member
- Dec 2, 2013
- 3,527
- 1,668
Tale: Kabakia na Madee tu ndo anajikongoja pale tiptop ingawa naye bado ni local
Fella: Atleast huyu naweza mpa credit za ubest manager kibongobongo, coz aliweza kusavaiv baada ya kuondokewa na bongofleva 'icon' kwa kipindi hicho Sir Nature Kiroboto, na kuwavumbua watoto waliotingisha nchi kwa ngoma baada ya ngoma (Yamoto Band).
#Mwisho wa siku kuwa na meneja bora ni moja, na kuweza kufanikiwa ni ishu nyingine, hapo ndo inahitaji uwezo binafsi.Madee, Chegge na Temba sikuzote wako palepale, hawaendi mbele wala hawarudi nyuma