Sundii Member Joined May 6, 2020 Posts 36 Reaction score 38 Mar 27, 2024 #1 Habar. Naomba kueleweshwa kinaga ubaga kuhusu Kaz na utofauti uliopo kati ya NVR na DVR
M mliverpool JF-Expert Member Joined Jan 6, 2015 Posts 1,565 Reaction score 2,944 Mar 27, 2024 #2 Sundii said: Habar. Naomba kueleweshwa kinaga ubaga kuhusu Kaz na utofauti uliopo kati ya NVR na DVR Click to expand... Vitu vingine vidogo vidogo kama hivi unaingia Google tu,hupqti shida ya kuuliza uliza !!
Sundii said: Habar. Naomba kueleweshwa kinaga ubaga kuhusu Kaz na utofauti uliopo kati ya NVR na DVR Click to expand... Vitu vingine vidogo vidogo kama hivi unaingia Google tu,hupqti shida ya kuuliza uliza !!
T Twin_Kids JF-Expert Member Joined Feb 25, 2016 Posts 3,692 Reaction score 5,647 Jul 8, 2024 #3 mliverpool said: Vitu vingine vidogo vidogo kama hivi unaingia Google tu,hupqti shida ya kuuliza uliza !! Click to expand... Kuna wengine hadi vitendo ndo huelewa. Na wengine kumbuka,hawana ujuzi,ila waebahatika kupata labda kazi,na anahitaji kujua maelezo ya kutoa
mliverpool said: Vitu vingine vidogo vidogo kama hivi unaingia Google tu,hupqti shida ya kuuliza uliza !! Click to expand... Kuna wengine hadi vitendo ndo huelewa. Na wengine kumbuka,hawana ujuzi,ila waebahatika kupata labda kazi,na anahitaji kujua maelezo ya kutoa
M Makosakuumbwa Senior Member Joined Mar 28, 2015 Posts 141 Reaction score 205 Jul 9, 2024 #4 Sundii said: Habar. Naomba kueleweshwa kinaga ubaga kuhusu Kaz na utofauti uliopo kati ya NVR na DVR Click to expand... Kazi ni moja ila NVR unatumia Utp Cable na kama Haina POE unatumia adaptor kwenye camera na DVR unatumia coaxial cable pamoja na power supply.
Sundii said: Habar. Naomba kueleweshwa kinaga ubaga kuhusu Kaz na utofauti uliopo kati ya NVR na DVR Click to expand... Kazi ni moja ila NVR unatumia Utp Cable na kama Haina POE unatumia adaptor kwenye camera na DVR unatumia coaxial cable pamoja na power supply.