Tofauti ya DVR NA NVR katika ufungaji wa CCTV camera

Tofauti ya DVR NA NVR katika ufungaji wa CCTV camera

Sundii

Member
Joined
May 6, 2020
Posts
36
Reaction score
38
Habar. Naomba kueleweshwa kinaga ubaga kuhusu Kaz na utofauti uliopo kati ya NVR na DVR
 
Vitu vingine vidogo vidogo kama hivi unaingia Google tu,hupqti shida ya kuuliza uliza !!
Kuna wengine hadi vitendo ndo huelewa. Na wengine kumbuka,hawana ujuzi,ila waebahatika kupata labda kazi,na anahitaji kujua maelezo ya kutoa
 
Habar. Naomba kueleweshwa kinaga ubaga kuhusu Kaz na utofauti uliopo kati ya NVR na DVR
Kazi ni moja ila NVR unatumia Utp Cable na kama Haina POE unatumia adaptor kwenye camera na DVR unatumia coaxial cable pamoja na power supply.
 
Back
Top Bottom