Tofauti ya enzi za zamani na za sasa

Tofauti ya enzi za zamani na za sasa

kidaganda

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2013
Posts
2,995
Reaction score
2,572
Enzi zetu Daftari ya Mazoezi ukigeuza nyuma lilikuwa na:-
Table hadi 12x12
Kubadili Centigrade Celisius kwenda fahrenheit
Uwiano wa vipimo Kilomita, Hektomita, Decimita, Sentimita n Milimita

Za kizazi kipya sasa! . Daftari zina picha za akina Messi, Ronaldo, John Cena, Undertaker na kila mbwembwe...

Unategemea nn km so darasa zima kwenda KUBETI??
[emoji443]what do you expect[emoji444]!

Elimu ilikuwa enzi zetu bana..... Alaaa
 
enzi zetu sisi kumpata binti unamsotea mwaka. akipita kwenye kundi la wanaume anaweza kujikwaa kwa kitete na ukimpata umepata mahaba haswaa ndio maaana wazazi wetu walihonga myuma kkoo. nyie dot com. mwanamke ana haya anatoa macho anakuuliza utanipa bei gani? nihayo tu si tunazungumzia ya kale?
 
enzi zetu sisi kumpata binti unamsotea mwaka. akipita kwenye kundi la wanaume anaweza kujikwaa kwa kitete na ukimpata umepata mahaba haswaa ndio maaana wazazi wetu walihonga nyumba kkoo. nyie dot com. mwanamke ana haya anatoa macho anakuuliza utanipa bei gani? nihayo tu si tunazungumzia ya kale?
 
Back
Top Bottom