Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni chura au mjusi?Nilichogundua kimodo, flat sreen kikifa kinaliliwa na ndugu wa karibu tu au marafiki ila sasa akifa alojaaliwa mashaalahh chura ya wazifa yaani chumba na sebule wanaume watalia, watazimia, watapost kila dakika.
yaani Dar wa ajbu sana wanaume waoWanaume wa Dar sema hivyo... Mbeya huko umesikia mwanaume kazimia?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilichogundua kimodo, flat sreen kikifa kinaliliwa na ndugu wa karibu tu au marafiki ila sasa akifa alojaaliwa mashaalahh chura ya wazifa yaani chumba na sebule wanaume watalia, watazimia, watapost kila dakika.
Haitoe wapi, ashukru dela linamstillMadam Mwajuma we uko na chura eenh
Ntaaminije?Mjusi ila mtamu sana..!