Tofauti ya harusi za Nigeria na Tanzania

Tofauti ya harusi za Nigeria na Tanzania

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
3,192
Reaction score
7,112
Kupitia harusi ya Jux kule Nigeria nimepata somo kubwa sana.
A:
1. Nigeria 🇳🇬 wanaheshimu sana mila
2. Nigeria 🇳🇬 ni wachangamfu sana
3. Nigeria 🇳🇬 wana vibe kubwa
4. Nigeria 🇳🇬 kwenye Sherehe watu wote wamechangamka , wana furaha na tabasamu.

B:
1. Tanzania 🇹🇿 mila ni kwa kiasi kidogo sana.
2. Tanzania 🇹🇿 kwenye harusi wamezubaa sana. Hadi wanywe bia/ Pombe.
3 . Kwenye ukumbe wa harusi Tanzania 🇹🇿 wapo kama wanasikiliza hotuba.

Kwenye harusi ya Jux huko Nigeria nimependa sana jinsi maharusi, wazazi, ndugu na waalikwa walivyokuwa wachangamfu .

Pia nimependa matukio ya kimila yaliyokuwa yakiendelea kama yale maneo ya ahadi kuwatunza wazazi nk.

Mtakaofanikiwa kuona video ya shughuli nzima nadhani mtagundua kuwa wenzetu wapo serious kwenye mila zao wana,zizingatia sana TOFALI NA SISI
 
🥹 🥹 🥹
Screenshot 2025-04-18 at 20.56.01.png


chakula 222.png
 
Hawa jamaa wanajua kusherekea aisee... naona ukiwa mfanyabiashara huko kwenye niche ya sherehe ukajiposition vizuri unajipata vibaya mno
 
Nimecheka pale walipolala chini na kushika viatu vya wakwe hahaa anaambiwa aseme maneno ya kinaija akawa hawezi ,kuna jamaa mmoja akachoka kulala akainuka kuna dada pembeni akamuonyeshea ishara kwamba endelea kulala 😀😀😀😀 ,yaani ni full mateso.
 
Back
Top Bottom