Admin1988 JF-Expert Member Joined Mar 30, 2017 Posts 1,603 Reaction score 1,848 Jan 3, 2020 #1 Habari wakuu. Naomba kujuzwa utofauti wa injini tajwa hapo juu kwenye hiyo gari. Nb: Nataka kununua RAV4, ila sina uwelewa wowote ule na mambo ya magari. SASA NAAMBIWA MARA INJINI HII NI D4 au MWINGINE INJINI HII NI 3s........! Sasa sielewi. ASANTENI SANA [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wakuu. Naomba kujuzwa utofauti wa injini tajwa hapo juu kwenye hiyo gari. Nb: Nataka kununua RAV4, ila sina uwelewa wowote ule na mambo ya magari. SASA NAAMBIWA MARA INJINI HII NI D4 au MWINGINE INJINI HII NI 3s........! Sasa sielewi. ASANTENI SANA [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] Sent using Jamii Forums mobile app
worms JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 978 Reaction score 911 Jan 3, 2020 #2 Hiyo ni Rav4 model ipi? Old model, Kilitime au Miss Tanzania? Sent using Jamii Forums mobile app
Admin1988 JF-Expert Member Joined Mar 30, 2017 Posts 1,603 Reaction score 1,848 Jan 6, 2020 Thread starter #3 worms said: Hiyo ni Rav4 model ipi? Old model, Kilitime au Miss Tanzania? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Naomba kujua juu ya OLD MODEL na KILL TIME Sent using Jamii Forums mobile app
worms said: Hiyo ni Rav4 model ipi? Old model, Kilitime au Miss Tanzania? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Naomba kujua juu ya OLD MODEL na KILL TIME Sent using Jamii Forums mobile app