Tofauti ya injini za D4 vs 3S kwenye Rav4

Tofauti ya injini za D4 vs 3S kwenye Rav4

Admin1988

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2017
Posts
1,603
Reaction score
1,848
Habari wakuu.

Naomba kujuzwa utofauti wa injini tajwa hapo juu kwenye hiyo gari.

Nb: Nataka kununua RAV4, ila sina uwelewa wowote ule na mambo ya magari.

SASA NAAMBIWA MARA INJINI HII NI D4 au MWINGINE INJINI HII NI 3s........!

Sasa sielewi.

ASANTENI SANA
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom