Tofauti ya jinsi corona inavyoshughulikiwa Kenya na Tanzania

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
17,994
Reaction score
24,902
Kenya wamefanya lock down na hasa katika miji mikubwa kama Nairobi na Mombasa ambayo ndio malango makuu ya Kenya.

Sasa wana visa 490 wakati Tanzania ina visa 480.

Kenya wanaripoti visa vipya (updates) kila siku, sisi mara moja kwa wiki 2.

Kenya wamepima watu 24,784, Tanzania imepima watu 652 tu!

Ukitaka kukadiria tuna visa vingapi kama tungepima idadi sawa na Kenya;

Assumptions:
> Uchumi na maisha ya nchi hizi mbili ni sawa
> Visa vya kwanza vya maambukizi vilitokea ndani ya muda mmoja
> Corona imesambaa hata nje ya miji mikubwa Dar vs Nairobi

480>652
?> 24,784

=24,784 x 480
gawanya kwa
652
=18,246
Ndio kusema kama tungekuwa tunapima watu wengi kwa idadi kama ya Kenya sasa hivi tungekuwa na visa 18,246!
Je huu ndio uhalisia wa visa vya corona Tanzania?
 
Kenya kuna lockdown ipi? Hii ya kuanza baada ya watu kufanya kazi
 
Uzuri ni kwamba kenya ni karibu na tz, huitaji nauli kubwa kwenda kule
kama kenya ni salama nendeni.

Kwani nani aliwaambia wakimbizi wa burundi kuja tanzania,si walikuja wenyewe kuokoa maisha yao?

Na hapa kwetu anayeona hayupo salama aende sehemu salama
janga likipita arudi, sisi tutamsaidia unga na mboga
 
Hii inaitwa tii sheria bila shurti😅😂
 
Kenya wamefanya lock down na hasa katika miji mikubwa kama Nairobi na Mombasa ambayo ndio malango makuu ya Kenya.

Sasa wana visa 490 wakati Tanzania ina visa 480.

Kenya wanaripoti visa vipya (updates) kila siku, sisi mara moja kwa wiki 2.

Kenya wamepima watu 24,784, Tanzania imepima watu 652 tu!

Ukitaka kukadiria tuna visa vingapi kama tungepima idadi sawa na Kenya;

Assumptions:
> Uchumi na maisha ya nchi hizi mbili ni sawa
> Visa vya kwanza vya maambukizi vilitokea ndani ya muda mmoja
> Corona imesambaa hata nje ya miji mikubwa Dar vs Nairobi

480>652
?> 24,784

=24,784 x 480
gawanya kwa
652
=18,246
Ndio kusema kama tungekuwa tunapima watu wengi kwa idadi kama ya Kenya sasa hivi tungekuwa na visa 18,246!
Je huu ndio uhalisia wa visa vya corona Tanzania?
Hailazimu kuwa hivyo lakini hakuna shaka kwamba idadi ya maambukizi ingelikuwa ni kubwa zaidi ya hiyo 480

Ila Mimi nashindwa hata kushangaa yaani siku zote hizo wamepimwa watu 652 tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom