Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Huyu ni Kiiza Besigye ambaye ni Mpinzani wa ukweli nchini Uganda akitoa maoni yake khs uchaguzi uliofanyika nchini Kenya, sasa linganisha na chadema yetu.
Besigye anaongelea matatizo wanayokumbana nayo Wapinzani Afrika hasa wakati wa uchaguzi, wkt huku kwetu chadema ambacho ndicho Chama Kikuu cha Upinzani kinasifu Chama tawala cha Kenya na wanasema kwamba Upinzani wa Kenya ndiyo wanaominya demokrasia, kwa mujibu wa chadema yetu,
so sad, ...