Hilo Kiiza Besigye amelielezea kama ukiliskiliza kwa makini, kama ukipenda, kwamba Vyama vyote vya Upinzania Afrika na hasa hili eneo letu vinakumbana na matatizo yanayoshabihiana, hivyo kwa akili ya kawaida ambayo kwa bahati mbaya haipo chadema, tungetegemea Upinzani uunganishe nguvu zao ili kupambana na hali iliyopo, lkn chadema wameungana na Chama tawala nchini Kenya ili kuzidi kukandamiza Upinzani nchini humo ili hali wao (chadema) wenyewe hulia kwamba ni victims wa ukandamizaji na kwamba wanaibiwa kura, so sad!