Kama hujui,hujui tu....
Chama tawala cha Ghana kilikua cha upinzani na ni rafiki mkubwa wa Chdema, mwaka jana kimeshinda uchaguzi.. Kwahiyo Chadema ivunje urafiki?
Halafu kuna urafiki wa vyama au umoja wa vyama(kidunia au kikanda) ambao unatokana na Itikadi za vyama hivyo. mf ni Liberal Democratic Union.. Kwahiyo umoja huu upo bila kujali chama kipo madarakani au laa.
Pia upo urafiki wa viongozi ktk vyama au Chama kuamua kumuunga mkono kiongozi flani kutokana na matendo au uongozi wake.
Mf. Leo Chadema hawezi kumuunga mkono Raila wkt anasema anaenda kuongoza Kama JPM (utawala usio na demokrasia na uonevu)
Lazima wamuunge Uhuru ambae hata maandamano ya kumpinga ameyaruhusu.. Huku kwetu mikutano ya ndani tu watu wanapimwa mikojo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo Uganda ndiyo Afrika? Basi Tanzania ni Dunia.
Kubali kuwa umetanua sana mada yako. Huwezi kuzungumzia Afrika kwa kutaja Uganda tu. Angalau ungesema Afrika Mashariki kwenye nchi sita. Usilazimishe ueleweke hata ulipojichanganya.Hilo Kiiza Besigye amelielezea kama ukiliskiliza kwa makini, kama ukipenda, kwamba Vyama vyote vya Upinzania Afrika na hasa hili eneo letu vinakumbana na matatizo yanayoshabihiana, hivyo kwa akili ya kawaida ambayo kwa bahati mbaya haipo chadema, tungetegemea Upinzani uunganishe nguvu zao ili kupambana na hali iliyopo, lkn chadema wameungana na Chama tawala nchini Kenya ili kuzidi kukandamiza Upinzani nchini humo ili hali waoa wenyewe huilia kwamba ni victims wa ukandamizaji na kwamba wanaibiwa kura, so sad!
Kubali kuwa umetanua sana mada yako. Huwezi kuzungumzia Afrika kwa kutaja Uganda tu. Angalau ungesema Afrika Mashariki kwenye nchi sita. Usilazimishe ueleweke hata ulipojichanganya.
Kiiza Besigye ndiye Afrika au Upinzani Afrika? Usilazimishe mambo mkuuKwenye video clip Kiiza Besigye ameliongelea hilo, unaweza kusikiliza kama ukipenda/ukiweza!
Here you come again;-Huyu ni Kiiza Besigye ambaye ni Mpinzani wa ukweli nchini Uganda akitoa maoni yake khs uchaguzi uliofanyika nchini Kenya, sasa linganisha na chadema yetu.
Besigye anaongelea matatizo wanayokumbana nayo Wapinzani Afrika hasa wakati wa uchaguzi, wkt huku kwetu chadema ambacho ndicho Chama Kikuu cha Upinzani kinasifu Chama tawala cha Kenya na wanasema kwamba Upinzani wa Kenya ndiyo wanaominya demokrasia, kwa mujibu wa chadema yetu,
so sad, ...
Here you come again;-
CDM wana simamia kauli yao toka mwanzo ya kumuunga mkono Kenyatta. Pia Yapo mazingira rafiki ya uchaguzi nchini Kenya kulinganisha na uganda na Tanzania. Besigye anazungumzia from his own experience. Ambapo yupo sawa na pia generally maelezo ya kua afrika upinzani unakandamizwa. Hii ni obvious.
Lakini asitumie loophole kwa kuitolea mfano Kenya.
Kwa case ya Kenya, atakua yupo bias kiasi kwasababu Kenya walishafanya makosa ya kupendelea chama tawala kiasi cha kupelekea kuuana wakati wa Mwai Kibaki, hata ikibidi wakae chini na kurekebisha mapungufu.
Contradiction is an engine of social change.
Tukichukua cases za Tanzania na Uganda bado hatujawahi kuuana na kupata adha ile Kenya iliwafikisha. Hata kupata Akili kua IPO Haja ya kutenda haki katika Uchaguzi.
Isipokua eneo dogo la Zanzibar mwaka 1995. Mwishowe Maalimu akawa sehemu ya serikali. Na hapa CUF waliifanikiwa kwasababu tu, waliuana.
My conclusion:-
Kwakua maendekeo hayana shortcut.
Hata sisi Tanzania Bara tukija kuuana na damu ikamwagika katika large scale, kwasababu ya vurugu za uchaguzi ndipo katiba itakapo rekebishwa na kasoro za uchaguzi kurekebishwa. Inahitaji kafara za watu kwanza.
Hivi Sasa joto halijapanda sana kwa wananchi, lakini kwakua wasomi wanaongezeka, naimani Siku si nyingi tutapata katiba mpya. Kwasababu wako watu watakao simama na kukataa kuendelea kuchezewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka nieleweje zaidi ya kuelewa kuwa umejichanganya? Kuwa mpinzani maarufu ni kibali cha kuzungumzia Afrika yote? Kwa faida yako,upinzani hutofautiana kati ya nchi na nchi kutegemeana na mazingira ya kiutawala na kiuchumi yaliyopo. Each case has its own facts. Beware!Ndiyo, ni mmoja kati ya Wapinzani maarufu Barani Afrika, na anajulikana na kuthaminiwa klk Chadema hakuna ninapolazimisha mambo, wewe ndiyo mgumu kuelewa!
Kwa mtazamo huu unakubali kua CCM kilichochini ya mwenyekiti Magufuli kinaikandamiza Cdm nchini?Chama cha Upinzani nchini Kenya kinapitia changamoto zile zile ambazo vyama vingine vya Upinzani Afrika na hasa Tanzania vinapitia, na ndicho Kiiza Besigye alichokisema sasa nia ajabu chadema kuungana na chama tawala nchini Kenya ambacho kinalaumiwa kutumia dola ikiwa ni pamoja an mauaji ili kubakia madarakani, hii ni ajabu sana!
Unataka nieleweje zaidi ya kuelewa kuwa umejichanganya? Kuwa mpinzani maarufu ni kibali cha kuzungumzia Afrika yote? Kwa faida yako,upinzani hutofautiana kati ya nchi na nchi kutegemeana na mazingira ya kiutawala na kiuchumi yaliyopo. Each case has its own facts. Beware!
Kwa mtazamo huu unakubali kua CCM kilichochini ya mwenyekiti Magufuli kinaikandamiza Cdm nchini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mujibu WA Basigye unaonekana una afiki ana naye kua; hata CCM ya Magufuli inakawaida ya kuwakandamiza wapinzani sana.Kwa mujibu wa chadema ndicho wanachotuambia na kujaribu kutumianisha na ndicho wanachokihubiri tangua kuasisiwa kwao, na ndiyo maana nashangaa kuungana na Chama tawala nchini Kenya ambacho kinashutumiwa na Upinzani kufanya yale yale ambayo chadema inayalalamikia hapa nyumbani, na cha ajabu zaidi labda kuliko vyote chadema hiyo hiyo mwaka 2013 ilikuwa upande wa upinzani nchi Kenya Odinga na ODM yake, kwa sababu zile zile ambazo wamekuwa wakizihubiri hapa Tanzania!
Sasa nani aliyebadilika chadema au Upinazani wa Kenya?
Kwa mujibu WA Basigye unaonekana una afiki ana naye kua; hata CCM ya Magufuli inakawaida ya kuwakandamiza wapinzani sana.
Hivyo kwa nafsi yako, unaamini ni kosa kwa Cdm kumuunga mkono Kenyatta.kwakua ni sawa na kuendelea kuunga mkono unyanyaswaji unaofanywa na akina magufuli kwa CDM. Na hii inawafanya CDm kutokua wapinzani WA kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati Upinzani kenya wanakwenda mahakamani, wanaandamana.Ndiyo tafsiri yangu na ndiyo maana nashindwa kuelewa chadema wanasimamia nini hasa, kama wanashindwa hata tu hata kuelewa wanachotaka!
Ukiangalia kwa mfano sasa hivi Upinzani wa Kenya wanakwenda Mahakamani na ukiangalia madai yao hayana tofauti na madai ya chadema siku zote hapa Tanzania, kwa hiyo ina maana sasa chadema watasema Upinzani Kenya ni waongo na wameshindwa kihalali na Chama tawala?