Tofauti ya Kiiza Besigye na vyama vingine vya upinzani Afrika

Tatizo la Chadema hawajui idadi kamili ya wanachama wanaangalia picha wanasema haya mafuriko haya ni kadhaa
 
Huwa najiuliza sipati jibu. CDM wanakiunga mkono chama tawala cha Kenya, ktk vyombo vya habari inatangazwa polisi wameuwa hadi watoto wachanga. Kwa hiyo CDM wanaunga mkono na hayo MAUAJI??!!
 
Barbarosa unadhani CCM ya magufuli unayoamini kua inakandamiza wapinzani, je iNA entertain hicho unachokiita Upinzani WA Kweli kifanyike nchini?.

Kama unavyomuunga mkono Basigye?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati Upinzani kenya wanakwenda mahakamani, wanaandamana.
Hapa Tanzania magufuli anawakandamiza cdm na cdm hawaruhusiwi kwenda mahakamani.
Which is much worse than kenyans?

Sent using Jamii Forums mobile app

Unatoka nje ya Mada, siyo TZ vs Kenya, hilo halikuwa lengo langu!
 
Unatoka nje ya Mada, siyo TZ vs Kenya, hilo halikuwa lengo langu!
Sijatoka nje ya mada.
Ni kwamba cdm ni mpinzani Tanzania na Wale muungano WA NASA ni wapinzani Kenya.

Kwakua unaafikiana na hoja ya Basigye kuhusu vyama tawala afrika vinakandamiza vyama vya upinzani ukatolea mfano Kenya na kuhoji kuhusu CDM kuunga mkono muungano wa Jubilee. Hii ina maana unakubali pia kua CCM chini ya mwenyekitii wao Dr. john Pombe magufuli inakandamiza upinzani. Basigye, he is right.


Hii ni kama hesabu ya simultaneous huwezi ongeza namba huku na kule ukaacha.. Ku balance equation.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka umeona tz ilivyo na vilaza wengi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ODM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2015 ODM kilimuunga ccm, ulitaka 2017 CDM amuunge nani? Vilevile magu alimwita Odinga rais na ccm waliwaunga mkono ODM mwaka huu. Pambana na hali yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CHADEMA ilikuwa Chama cha Upinzani kabla ya kupokea makapi toka CCM. Kwa kutelekeza Sera yao iliyowapa umaarufu ya kutetea Rasilimali za Umma na kupinga Ufisadi, CHADEMA is absolutely not and no longer an Opposition Party. Period!
 
Kaka kuhusu vyama tawala na upinzani ke na tz, hapa kulitokea vice versa kuanzia 2015 wakati odm walipomuunga mkono ccm. Na mpaka mwaka huu ccm waliendelea kumuunga mkono odm. Sasa ulitaka cdm wafanye nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka kuhusu vyama tawala na upinzani ke na tz, hapa kulitokea vice versa kuanzia 2015 wakati odm walipomuunga mkono ccm. Na mpaka mwaka huu ccm waliendelea kumuunga mkono odm. Sasa ulitaka cdm wafanye nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
CDM ni chama mfu. Hakina mvuto wala nguvu tena hasa baada ya kuondolewa kwa mbeleko ya CUF.
 
Chadema OG ambayo kamwe isingekubali kufungamana na fisadi uhuru kenyata ilishajiondokea na dr slaa, hii ya lowasa ni wazi ni lazma imuunge mkono kenyata - hata wahenga walinena ndege wafananao huruka pamoja!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2015 ODM kilimuunga ccm, ulitaka 2017 CDM amuunge nani? Vilevile magu alimwita Odinga rais na ccm waliwaunga mkono ODM mwaka huu. Pambana na hali yako.

Sent using Jamii Forums mobile app


CCM haijawahi kuunga mkono chama chochote cha Siasa Kenya, usichanganye mapenzi ya JPM na CCM isitoshe hata JPM mwenyewe kama Raisi wa nchi na Mkuu wa CCM hakuchukuwa upande wowote ule na ndiyo kama Raisi wa nchi ameshampongeza Uhuru Kenya pmj na kuwa Upinzani wamekataa matokeo!
 
Ulitaka CHADEMA wachukue Matako toka ccm na kwa Kagame?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…