Tofauti ya Kiiza Besigye na vyama vingine vya upinzani Afrika

Tusio na msukumo wa Itikadi za kisiasa baina ya CCM na CDM tumekuelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Absolutely yes!!!!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CHADEMA ilikuwa Chama cha Upinzani kabla ya kupokea makapi toka CCM. Kwa kutelekeza Sera yao iliyowapa umaarufu ya kutetea Rasilimali za Umma na kupinga Ufisadi, CHADEMA is absolutely not and no longer an Opposition Party. Period!

CDM WALISHASEMA KAZI YA CHAMA CHA SIASA NI KUCHUKUA DOLA, SIO KUBAKIA KUITWA MPINZANI. HAPA NAONA WANASIMAMIA ITIKADI YAO.
kua MPINZANI sio lengo LA chama cha siasa kama chadema.

Chama cha siasa ni watu. Neno makapi nao ni watu.
Hawa waliorudi CCM baada ya uchaguzi wakapokelewa wanaweza kua ni makapi watu.

Cdm haikwenda kwenye uchaguzi mkuu na ajenda yao peke yao, bali walikua chini ya muungano WA vyama vinavyounda UKAWA, ambapo muungano huu ndio uliandaa ajenda ambayo ililenga kuwapatia watanzania "katiba mpya" ambayo miaka yote CCM wamekua hawataki kuileta.

Na Sera ya Ukawa iliwapatia marafiki WA vyama MPINZANI kama cuf na vingine. hata wakajizoela Viti vingi Bungeni.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ccm leo mnamsifia Besigye,duuuuuh!
 
Absolutely yes!!!!.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante, shida anayopata Barbarosa ni kwakua yeye ni mwanasisiemu.

Anaona aibu kukiri kua:- ikiwa cdm wana kosea kumuunga mkono Kenyatta. Basi ni kweli pia Magufuli ambaye ni mwenyekiti wake wa chama cha mapinduzi anakandamiza upinzani nchini vilevile.

Ambapo ningemshauri amsaidie mwenyekiti wake Aache kuionea cdm.

Nataka awe na ujasiri wa kusema Ukweli hata kama haumpendezi. Kwakua msema kweli ni mpenzi wa MUNGU wa Daudi, Mungu wa Paulo na Mungu wa john ambaye tunamwita yohana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona NASA wameungana na chama tawala CCM!???
Lisemee hilo
 
Wewe Barbarosa unafikiri kwamba CHADEMA lazima ishirikiane na wapinzani tu. Chama kina vyama vyenye dola ambavyo wanashare ideologies navyo.
 
Wewe Barbarosa unafikiri kwamba CHADEMA lazima ishirikiane na wapinzani tu. Chama kina vyama vyenye dola ambavyo wanashare ideologies navyo.
HALI YA CHADEMA INASIKITISHA SANA NA SIJUI ITAJIKWAMUAJE. ISINGEMEZA CHAMBO YA CCM KWA KUPOKEA MAKAPI YAKE INGEKUWA MBALI SANA KIMAENDELEO HATA KAMA WASINGETWAA DOLA.
 
HALI YA CHADEMA INASIKITISHA SANA NA SIJUI ITAJIKWAMUAJE. ISINGEMEZA CHAMBO YA CCM KWA KUPOKEA MAKAPI YAKE INGEKUWA MBALI SANA KIMAENDELEO HATA KAMA WASINGETWAA DOLA.
Sio kweli. Naamini walifanya vizuri kuwapokea hao unaowasema. Chama kimejiongezea wabunge wengi na share ya kura za urais. Tatizo ni huyu Mtakatifu wetu wa saiv asiyetaka kukosolewa. Kama kweli anajiamini afuate katiba ya nchi na aruhusu mikutano ya kisiasa.
 
Wewe Barbarosa unafikiri kwamba CHADEMA lazima ishirikiane na wapinzani tu. Chama kina vyama vyenye dola ambavyo wanashare ideologies navyo.


Kwa hiyo chadema wanashare ideology sawa na Jubilee ya Uhuru Kenya? Kama ni hivyo wamebadilisha hiyo ideology lini kwa maana 2013 walikuwa na Raila Odinga!
 
MIKUTANO SUBIRI WAKATI WA KAMPENI 2019 NA 2020. MUDA HUU WATU WACHAPE KAZI KUJENGA TAIFA. KUANDAMANA NA MIKUTANO NI KUPOTEZA MUDA WA KUFANYA MAMBO YA MSINGI
 

we hujui siasa za uganda kabisa huyo besigye ni pandikizi ili wanayankole waendelee kuitawala Uganda hana seriousness yoyote zaidi walimjenga sana kwa kumpa kiki ili siasa za Uganda zitawaliwe name westerners ili hta akiondoka museveni atawale mnyankole au mhima mwingine hi yo besigye so mpinzani

kingine chadema walisifia matokeo sababu hakuna seem kumeripotiwa wizi was kura zaidi shida ni uwasilishaji wa matokeo sasa wapi chadema wamepotoka wakati unasahau hta magufuli mwenyewe alipongeza kwa ushindi!!! acheni siasa kwenye kila kitu watanzania

chadema walimsupport kenyatta sababu ya demokrasia na huyo besigye hawezi support jubilee sababu ruto alimpigia kampeni museveni uchaguzi uliopita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…