big dreamer
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 399
- 1,076
Wakuu poleni na kukosa kazi ya sensa,,,
Napenda kujua tofauti kati ya gari ya short wheelbase na Long wheel base (kwa lugha ya kitaalam) kwa gari aina moja tukiachana na muonekano ipi tofauti Nyingne hususani road stability, power,fuel consumption,rough road performances
Unakuta gari kama prado,rav 4, etc wametoa za lwb na swl (kwanini walioamua kutoa hivyo) waswahili wanaita milango mi tano vs milango mi3 na zipi tofauti zao
ASANTENI msisahau kuhesabiwa