Tofauti ya kitaalam kati ya gari zenye short chassis na long chassis

Tofauti ya kitaalam kati ya gari zenye short chassis na long chassis

Short wheel base ya vogue ni ipi ..usije sema evoque..ile ni gari ingne kabisa hata engine zake ni ndogo compared na rav4 , prado zina share engine na swb zake

Range Rover zipo makundi manne

1. Range Rover Vogue

Hapa kuna model kama Classic, P38, L322, L405 na L460[hii ndio latest].

Kuanzia L405 ndio RR zimeanza kutoka LWB na SWB. L322 kurudi nyuma ilikuwa ni SWB tu.

2. Range Rover Sport

Hapa kuna L320, L494 na L461[Hii ndio latest]

3. Range Rover Evoque

Hapa kuna L538 na L551[Hii ndio latest]

4. Range Rover Velah

Hii imekuja juzi tu 2017. Hapa kuna toleo moja tu ambalo ni L560.

I stand to be corrected.
 
Tukiachana na gari kama prado na rav 4...

Tuongelee short na long wheelbase za gari kama Range Rover Vogue, Mercedes Benz S class, Audi A8 na BMW 7 series.

Kitu cha kwanza kabisa kinachozitofautisha ni comfortability...

LWB ni more luxurious and comfortable kuliko SWB
Still reasons za hapo juu nj valid...plus bei

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Inawezekana kabisa haujawai kutembelea gari ya automatic huko field na ukajionea udhaifu wake hivyo
Wala tusilete ligi hapa ikiwa hauna uzoefu na rough road.
Wengine tulishawahi kuzimiliki hizo auto na manual hasa kwa 4x4 tunajua mapungufu ya auto kwenye field zikoje.

Ukitaka ushahidi naweza kuweka baadhi ya clip kama zitakuwepo.
Auto za miaka ipi unaongelea mkuu, inawezekana unaongelea wet clutch za miaka hiyo,
Siku zinabadilika , hiyo field ya 4x4 moja ya wababe ni land cruiser , kwenye productiin ya 300 series ya mwaka jana manual ni second option , na hii ni kwa exclusively kwa waarabu wanaotwmbea kwenye michanga
 
Manual gearboxes zinakuwa phased out
Iveco stralis europe hawana manual options kwa karibu mwaka wa tano sasa mercedes hali ni hiyo hiyo , scanaia wana manual option @ 7000 plus extra cost of auto na kwa high horsepow er zao kama r770 hawana manual options]
 
Mkuu nataka kununua katoto ka-gari(suzuki escudo old model za mwanzo au gen ya pili) ya short chassis manual kwa mtu.
Unanishauri vipi kama gari ya mazingira magumu magumu ya barabara mbovu mda wote!na gharama za service.mafuta nadhani kitakua kinanusa tu cc1500 au?
Nataka short sababu ya harakati zangu,pia sipendi gari kubwa,nataka kachuma kakuburuzia vijijini popote kambi
Chukua..ipo vizuri..engine ya G16B yenye 16valves ni bora kuliko 16A 8V..
 
  • Thanks
Reactions: PYD
Back
Top Bottom