big dreamer
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 399
- 1,076
Wakuu poleni na kukosa kazi ya sensa,,,
Napenda kujua tofauti kati ya gari ya short wheelbase na Long wheel base (kwa lugha ya kitaalam) kwa gari aina moja tukiachana na muonekano ipi tofauti Nyingne hususani road stability...
Mkuu nataka kununua katoto ka-gari(suzuki escudo old model za mwanzo au gen ya pili) ya short chassis manual kwa mtu.Sababu ya LWB na SWB ni marketing.. Ununue kinachokufaa na unachokimudu.
Nyumba ya kawaida na Ghorofa..!
Stability - SWB..!
Power - on paper zitakuwa sawa.. Ila reality SWB itakuwa na nguvu.
Fuel Consumption - SWB itakuwa economic zaidi.
Rough Road - SWB sio rahisi kukwama.. Front and rear axles zipo karibu.
Overall LWB ni bora sababu ya nafasi.
Imagine unaenda kwa Wakwe na SWB then inabidi ukunje kiti ili Mkwe aruke nyuma..!
Mkuu nataka kununua katoto ka-gari(suzuki escudo old model za mwanzo au gen ya pili) ya short chassis manual kwa mtu.Tukiachana na gari kama prado na rav 4...
Tuongelee short na long wheelbase za gari kama Range Rover Vogue, Mercedes Benz S class, Audi A8 na BMW 7 series.
Kitu cha kwanza kabisa kinachozitofautisha ni comfortability...
LWB ni more luxurious and comfortable kuliko SWB
Kwa nini unanunua gari manual miaka hii?Mkuu nataka kununua katoto ka-gari(suzuki escudo old model za mwanzo au gen ya pili) ya short chassis manual kwa mtu.
Unanishauri vipi kama gari ya mazingira magumu magumu ya barabara mbovu mda wote!na gharama za service.mafuta nadhani kitakua kinanusa tu cc1500 au?
Nataka short sababu ya harakati zangu,pia sipendi gari kubwa,nataka kachuma kakuburuzia vijijini popote kambi
Short wheel base ya vogue ni ipi ..usije sema evoque..ile ni gari ingne kabisa hata engine zake ni ndogo compared na rav4 , prado zina share engine na swb zakeTukiachana na gari kama prado na rav 4...
Tuongelee short na long wheelbase za gari kama Range Rover Vogue, Mercedes Benz S class, Audi A8 na BMW 7 series.
Kitu cha kwanza kabisa kinachozitofautisha ni comfortability...
LWB ni more luxurious and comfortable kuliko SWB
Binadamu tunatofautiana.ukisema miaka hii hatupaswi kuendesha manual binafsi hua pia nashangaa kwanini unashangaa watu wanaependa manual!Kwa nini unanunua gari manual miaka hii?
Sikuwa na lengo la kubishana bali nilitegemea ungekuja na sababu za kunieleweshaBinadamu tunatofautiana.ukisema miaka hii hatupaswi kuendesha manual binafsi hua pia nashangaa kwanini unashangaa watu wanaependa manual!
kama ambavyo wewe unavyopenda kusaidiwa kuingiziwa gia mimi napenda kuingiza mwenyewe bila kujali tupo karne ya ngapi na wapi wala teknolojia gani.
Kwa nini waafrika mnaogopa wakwe kuliko wazazi?muache tu arukeSababu ya LWB na SWB ni marketing.. Ununue kinachokufaa na unachokimudu.
Nyumba ya kawaida na Ghorofa..!
Stability - SWB..!
Power - on paper zitakuwa sawa.. Ila reality SWB itakuwa na nguvu.
Fuel Consumption - SWB itakuwa economic zaidi.
Rough Road - SWB sio rahisi kukwama.. Front and rear axles zipo karibu.
Overall LWB ni bora sababu ya nafasi.
Imagine unaenda kwa Wakwe na SWB then inabidi ukunje kiti ili Mkwe aruke nyuma..!
Auto ni safety wapi...?Sikuwa na lengo la kubishana bali nilitegemea ungekuja na sababu za kunielewesha
Hao wanatengeneza hayo magari wana discourage manual options , in fact kuna baadhi ya manufactures hawana manual option kwa baadhi ya model.
Auto ni superior in many ways over manual , especialy safety issues .
Inawezekana unapenda sana manual na hujajua faida ya auto
Ingekua hivyo gari za kazi zote wangeweka auto kwanzia pickups hadi malori!Sikuwa na lengo la kubishana bali nilitegemea ungekuja na sababu za kunielewesha
Hao wanatengeneza hayo magari wana discourage manual options , in fact kuna baadhi ya manufactures hawana manual option kwa baadhi ya model.
Auto ni superior in many ways over manual , especialy safety issues .
Inawezekana unapenda sana manual na hujajua faida ya auto
Unaona sasa !!Ingekua hivyo gari za kazi zote wangeweka auto kwanzia pickups hadi malori!
Manual ni gearbox imara,hazina complications wala kuhitaji care sana compared na auto.
Auto ni luxury zaidi,ndiomana wanaotaka kustarehe mumewekewa hizo!
Manual gearbox haiwezi kuja kuachwa,kuna gari kibao zakutembelea zinatoka kila kukicha zikiwa na manual gearbox!
Unaposema safetiness unadhani manufacturers hawaoni hilo hadi waendelee kutengeneza manual kila kukicha?
Kimeumana yani kama muhaUnaona sasa !!
Gari heavy duty kwa miaka hii nyingi ni auto
Zipo ndio sijakataa mbona muda tu,ila hujanijibu wameacha kabisa kutengeneza manual?kwanini unadhani?Unaona sasa !!
Gari heavy duty kwa miaka hii nyingi ni auto
Pamoja na magari mengi ya kisasa yaagizwayo na serikali bado 90% ni manual.Ingekua hivyo gari za kazi zote wangeweka auto kwanzia pickups hadi malori!
Manual ni gearbox imara,hazina complications wala kuhitaji care sana compared na auto.
Auto ni luxury zaidi,ndiomana wanaotaka kustarehe mumewekewa hizo!
Manual gearbox haiwezi kuja kuachwa,kuna gari kibao zakutembelea zinatoka kila kukicha zikiwa na manual gearbox!
Unaposema safetiness unadhani manufacturers hawaoni hilo hadi waendelee kutengeneza manual kila kukicha?
Manual gearboxes zinakuwa phased outZipo ndio sijakataa mbona muda tu,ila hujanijibu wameacha kabisa kutengeneza manual?kwanini unadhani?
Serikali kununua magari manual haimaanishi kuwa ndio magari bora, kama wataalamu wetu wangekuwa vizuri , gari manua zilitakiwa zipotee toka miaka mingi iliyopitaPamoja na magari mengi ya kisasa yaagizwayo na serikali bado 90% ni manual.
Hivyo mkuu wala usisikie ya watu wachache humu wasiomudu manual gear kuona kwamba auto ndio sahihi kwa sasa.
Pia Uingereza gari zao %kubwa ni manual tena hizi IST rav4 BMW version za kwao ni manual kwa kiwango kikubwa.
Inawezekana kabisa haujawai kutembelea gari ya automatic huko field na ukajionea udhaifu wake hivyoSerikali kununua magari manual haimaanishi kuwa ndio magari bora, kama wataalamu wetu wangekuwa vizuri , gari manua zilitakiwa zipotee toka miaka mingi iliyopita