JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
Short wheel base ya vogue ni ipi ..usije sema evoque..ile ni gari ingne kabisa hata engine zake ni ndogo compared na rav4 , prado zina share engine na swb zake
Still reasons za hapo juu nj valid...plus beiTukiachana na gari kama prado na rav 4...
Tuongelee short na long wheelbase za gari kama Range Rover Vogue, Mercedes Benz S class, Audi A8 na BMW 7 series.
Kitu cha kwanza kabisa kinachozitofautisha ni comfortability...
LWB ni more luxurious and comfortable kuliko SWB
Auto za miaka ipi unaongelea mkuu, inawezekana unaongelea wet clutch za miaka hiyo,Inawezekana kabisa haujawai kutembelea gari ya automatic huko field na ukajionea udhaifu wake hivyo
Wala tusilete ligi hapa ikiwa hauna uzoefu na rough road.
Wengine tulishawahi kuzimiliki hizo auto na manual hasa kwa 4x4 tunajua mapungufu ya auto kwenye field zikoje.
Ukitaka ushahidi naweza kuweka baadhi ya clip kama zitakuwepo.
Manual gearboxes zinakuwa phased out
Iveco stralis europe hawana manual options kwa karibu mwaka wa tano sasa mercedes hali ni hiyo hiyo , scanaia wana manual option @ 7000 plus extra cost of auto na kwa high horsepow er zao kama r770 hawana manual options]
Chukua..ipo vizuri..engine ya G16B yenye 16valves ni bora kuliko 16A 8V..Mkuu nataka kununua katoto ka-gari(suzuki escudo old model za mwanzo au gen ya pili) ya short chassis manual kwa mtu.
Unanishauri vipi kama gari ya mazingira magumu magumu ya barabara mbovu mda wote!na gharama za service.mafuta nadhani kitakua kinanusa tu cc1500 au?
Nataka short sababu ya harakati zangu,pia sipendi gari kubwa,nataka kachuma kakuburuzia vijijini popote kambi