rubaman
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 4,983
- 3,084
Nadhani waswahili tunachanganya haya maneno.Ninavyojua Kodi inalipwa unalipwa kama pango yaani unapokodi nyumba, chumba,eneo la kufanyia biashara au kama unapokodi kitu kama gari , nk. Na ushuru ni ule unaolipwa unaponunua bidhaa au unapoingiza bidhaa nchini.
Wataalam naomba mnieleweshe tofauti kati ya kodi na ushuru. Je VAT ni kodi au VAT ni ushuru? TRA wanashughulikia nini ushuru au kodi?
Wataalam naomba mnieleweshe tofauti kati ya kodi na ushuru. Je VAT ni kodi au VAT ni ushuru? TRA wanashughulikia nini ushuru au kodi?