Tofauti ya Kodi na Ushuru.

Tofauti ya Kodi na Ushuru.

rubaman

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2011
Posts
4,983
Reaction score
3,084
Nadhani waswahili tunachanganya haya maneno.Ninavyojua Kodi inalipwa unalipwa kama pango yaani unapokodi nyumba, chumba,eneo la kufanyia biashara au kama unapokodi kitu kama gari , nk. Na ushuru ni ule unaolipwa unaponunua bidhaa au unapoingiza bidhaa nchini.
Wataalam naomba mnieleweshe tofauti kati ya kodi na ushuru. Je VAT ni kodi au VAT ni ushuru? TRA wanashughulikia nini ushuru au kodi?
 
rubaman .. Kwa mujibu wa Kamusi ya TUKI, Kodi lina maana mbili. Lakini kwa kuangalia maana inaonekana kama ni neno moja lenye maana mbili, labda wajuzi watueleweshe zaidi

1. kodi = rent, hire.
  • kodia, (tdew) kodiwa; (tdk) kodika; (tds) kodisha. (Khi)
2. ​kodi =rent, cess, import, tax, levy.

Ushuru* = customs duty.
 
Back
Top Bottom