Kizimbuzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 1,569
- 745
Habari Wana-JF, mimi nina azma ya kutengeneza bidhaa hivi karibuni. Bidhaa na utengenezaji wake, unahitaji pia utambulisho.
>>Ninaomba ufafanuzi, bei ya kutengeneza, na tofauti, kama ipo, ya LEBO na NEMBO. Katika mafunzo yangu ya uzalishaji wa bidhaa za viwandani, nilifundishwa pia namna ya ku-design lebo. Pia hapa JF, nimewahi kuona tangazo la biashara ya kudizain nenbo. Swali langu ninahitaji kujua kama kuna tofauti ya LEBO na NEMBO, na bei ya kutengeza hizi alama/vitambulisho..#Asante