Mwambie ukweli huyo pimbi hajielewi kabisa!Bora anaeomba kuliko anaepora kama sio kuiba pesa za umma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie ukweli huyo pimbi hajielewi kabisa!Bora anaeomba kuliko anaepora kama sio kuiba pesa za umma
Hoja mfu. Kwani uchapakazi wa Magufuli ulianza baada ya kuwa rais? Kupiga kazi na kupiga porojo ni vitu viwili tofauti.So uyo mwendazake pesa alikua anatoa mfukoni mwake, Ngoja awe rais ndo utajua karama za watu ,
Nadhani tatizo ni kutomjua vizuri Pombe ndiyo maana umekuja na thread hii. Kwanza ungeuliza watu kuwa ndoa ya Pombe na Janeth mahari yake alilipiwa na nani?Ni ukweli ulio wazi kabisa kwamba Tundu Lisu na Shujaa Magufuli wanafanana katika mambo mengi ikiwemo Ujasiri, Kujiamini, Ubabe, Upendo na One Man Show
Tofauti yao ya Msingi ni Moja tu Kwamba Lisu anapendelea mambo ya kusaidiwa saidiwa hata kwenye kupeleka gari binafsi Gereji lakini Shujaa Magufuli alipenda kujitegemea kwa kila kitu hata Bombardier zilipakwa rangi hapa hapa Nchini
Ili apate kura za kuridhisha 2025 Tundu Lisu aachane na mambo ya kupitisha bakuli
Samahani kwa wale mliokwazika 🐼
Ahsanteni Sana 😂
Wapo tofauti sana! Shujaa alikufa kwa UTITIRI, lakini Lissu shaba za kutosha, bado anaishi!Alikuwa akitudanganya ati anatumia Fedha za ndani.
LISSU 2025
Hayo ni mambo ya Mila na DesturiNadhani tatizo ni kutomjua vizuri Pombe ndiyo maana umekuja na thread hii. Kwanza ungeuliza watu kuwa ndoa ya Pombe na Janeth mahari yake alilipiwa na nani?
Ungepata muda wa kukaa na watu wazima wangekwambia ilikuwaje wakati JPM anaenda Uingereza kwa matibabu ya moyo sehemu ya gharama zilibebwa na akina nani?
Ova
Wewe unaongea kwa mamlaka yapi kwamba lissu kuwa Rais nitasubiri sana ,ya kidunia ,au ya kimungu? Sasa nakupa dokezo Lissu ni rais wako ajae na kama ccm inategemea janja janja kubaki madarakani hilo Mungu wangu alishakataa kama sio kuifutilia mbali mamlaka ya kiutawala ccm na ilisha kuwa.Hoja mfu. Kwani uchapakazi wa Magufuli ulianza baada ya kuwa rais? Kupiga kazi na kupiga porojo ni vitu viwili tofauti.
Kama unasubiri lisu awe rais basi utasubiri sana!
Shetani kujifanya Mungu ni kawaida yake. Wewe endelea kumsikiliza huku ujiaminisha kuwa ni mungu wako.Wewe unaongea kwa mamlaka yapi kwamba lissu kuwa Rais nitasubiri sana ,ya kidunia ,au ya kimungu? Sasa nakupa dokezo Lissu ni rais wako ajae na kama ccm inategemea janja janja kubaki madarakani hilo Mungu wangu alishakataa kama sio kuifutilia mbali mamlaka ya kiutawala ccm na ilisha kuwa.
Sasa ngoja uchaguzi ukifanyika ccm Ije na janja janja , upanga wa Bwana utawashukia na watadondoka kama kuku wenye kideli.Tunza hii
Nimesema Magufuli alikuwa mpigaji sijasema alikuwa mpigania haki.Mkuu, Magufuli alimpigania/mtetea nani nje ya ofisi za serrikali? Lisu anaendelea kuwatetea watu toka ahitimi elimu yake ya sheria hadi kesho bila kutegemea bajeti/mafungu ya Serikali.
Mkuu, hapo sawaNimesema Magufuli alikuwa mpigaji sijasema alikuwa mpigania haki.
sio kweliMagufuli alikuwa mpigaji Lissu siyo mpigaji
Niliyoandika nimeandikasio kweli
Mkuu kwani Lisu kapiga wapi, nadhani hajawahi hata kuhudumu ndani ya viwanja vya upigaji ambako magoli yanatafutwa.sio kweli
lisu alipokea rushwa ya mabeberu kwenye kesi ya makinikia ikamtokea puaniMkuu kwani Lisu kapiga wapi, nadhani hajawahi hata kuhudumu ndani ya viwanja vya upigaji ambako magoli yanatafutwa.