Tofauti ya Lisu na CHADEMA yake na Mpinzani mkuu wa Museveni, Bob Wine na chama chake
Bob wine alipohojiwa na BBC swahili kuwa uchaguzi mkuu Uganda unafanyika mwakani je atagombea pamoja na kuwa mara nyingi akigombea amekuwa akishindwa
Akajibu akasema yeye watu wanaompenda na wako tayari kumpigia kura wanaongezeka kila siku hawapungui hivyo Mwakani atagombea tena uraisi dhidi ya Museveni tofauti na Lisu na CHADEMA yake