Istanbul kabisa yule.Kimandolu mkubwa wewe
Katika vitu vya kijinga sana nimemsoma mwaka huu hii nayo imo. Tupunguze kupotezeana muda kama huna la kuandika tulia tuTofauti ya Lisu na CHADEMA yake na Mpinzani mkuu wa Museveni, Bob Wine na chama chake
Bob wine alipohojiwa na BBC swahili kuwa uchaguzi mkuu Uganda unafanyika mwakani je atagombea pamoja na kuwa mara nyingi akigombea amekuwa akishindwa
Akajibu akasema yeye watu wanaompenda na wako tayari kumpigia kura wanaongezeka kila siku hawapungui hivyo Mwakani atagombea tena uraisi dhidi ya Museveni tofauti na Lisu na CHADEMA yake
Katika vitu vya kijinga sana nimesoma mwaka huu hii nayo imo.Tofauti ya Lisu na CHADEMA yake na Mpinzani mkuu wa Museveni, Bob Wine na chama chake
Bob wine alipohojiwa na BBC swahili kuwa uchaguzi mkuu Uganda unafanyika mwakani je atagombea pamoja na kuwa mara nyingi akigombea amekuwa akishindwa
Akajibu akasema yeye watu wanaompenda na wako tayari kumpigia kura wanaongezeka kila siku hawapungui hivyo Mwakani atagombea tena uraisi dhidi ya Museveni tofauti na Lisu na CHADEMA yake
Samahan ulishafika uganda wakati wa uchaguz au ukaufuatilia?Kumbuka uchaguzi wa Uganda ni bora kuliko huu wa Tanzania.
Tofauti ya Lisu na CHADEMA yake na Mpinzani mkuu wa Museveni, Bob Wine na chama chake
Bob wine alipohojiwa na BBC swahili kuwa uchaguzi mkuu Uganda unafanyika mwakani je atagombea pamoja na kuwa mara nyingi akigombea amekuwa akishindwa
Akajibu akasema yeye watu wanaompenda na wako tayari kumpigia kura wanaongezeka kila siku hawapungui hivyo Mwakani atagombea tena uraisi dhidi ya Museveni tofauti na Lisu na CHADEMA yake
Katika vitu vya kijinga sana nimesoma mwaka huu hii nayo imo.
Tupunguze kupotezeana muda kama huna la kuandika tulia ujinga unakinga
We ni sawa na mbuzi tu hujawahi kuwa na akiliKumbuka uchaguzi wa Uganda ni bora kuliko huu wa Tanzania.
Asante kwa kunisifiaKimandolu mkubwa wewe
Ingia online tu Data zote zimo chaguzi za Uganda chama tawala hakipati asilimia 99 huu ujinga ni ni Tanzania peke yake.Samahan ulishafika uganda wakati wa uchaguz au ukaufuatilia?
Nitajie uchaguzi wa Uganda ambako chama tawala kimepata asilimia 99?We ni sawa na mbuzi tu hujawahi kuwa na akili